Zipo pembaHivi hizo bikra kwa miaka hii zipo? naona tuanzie hapo usije kukuta kuna evolution changes kwenye maumbile ya kike. Kifupi utakaona katoto tu lakini dahh.
Madam kiuno
Mwandiko unaonyesha na ya tigo yako haipoHawawezi kukosa zote mbili. Akikosa ya voda atakuwa na ya tigo zote bikra sema nyingine hazitolewi.
hahahaa kuoa mwanamke bikra sio guarantee ya wewe kuwa na ndoa imara! rafik angu kaolewa na bikra mwaka 2011 mwaka 2013 kaachana na mumewe haya wapi na wapi ! mtuache jaman
Na ntakufa nayo. Kama hayatanikuta ya Roma
Ww mwanamke umenichekeshaa sanaBikra ni kama kuwa wa kwanza kuvaa shati ukilifua mwingine analivaa
Mwandiko unaonyesha na ya tigo yako haipo
Wapo waliitoa wawili?
Ya nyuma nakufa nayo. Ya mbele bye bye Ilienda mdaYa mbele au nyuma?
Wengi wanajidanganya ukioa mwanamke bikra mtadumu kwenye ndoa.
Ya nyuma nakufa nayo. Ya mbele bye bye Ilienda mda
Nimekuletea MBITIYAZA msaidiane, maana mie sina uzoefu kwenye mambo hayo siunajua sijaguswa [emoji6]
Kwa sasa sio issue sana kwa sababu utakuja kuta watu hawaoi, na kingine wengi wameshakuwa wake za watu tayari kwa ndoa zetu za masaa 12 na shaidi ni Shetani.Bikra bikra!
Enzi za kale babu zetu walihakikisha watoto wao wanatunza bikra zao hadi siku ya ndoa!
Binti aliyejitunza alionekana kuwa ni bora zaidi Na heshima kubwa kwa wazazi wake!
Njia mbalimbali mfano kutandika kitambaa cheupe ilitumika siku ya kwanza ya fungate kujua kama binti amekutwa bikra au la!
Iwapo ikikutwa damu furaha vigelegele Na nderemo vilitamalaki nyumba nzima!
Mume aliona amepata mke kweli.
Kadiri miaka inavyosonga mtizamo Wa jamii unabadilika!
Sayansi imefanya uwepo Wa bikra bandia!
Je bikra bado ni njia nzuri ya kumtambua mke bora!
Wanawake walioolewa Na bikra Na wale waliozipoteza kabla maisha Na mtizamo Wa wenza wao ni Upi!
Wanaume waliooa bikra watueleze experience!
DJ sepetu
Nimekuletea MBITIYAZA msaidiane, maana mie sina uzoefu kwenye mambo hayo siunajua sijaguswa [emoji6]
Acha nikatandikiwe shuka jeupe tuu kionekane kitu chekunduhaahahaa na kweli ney hujaguswa!usiguswe shogaa hawajielewe hawa kufa nayo tu
Acha nikatandikiwe shuka jeupe tuu kionekane kitu chekundu
mhBikra ni kama kuwa wa kwanza kuvaa shati ukilifua mwingine analivaa
Acha nikatandikiwe shuka jeupe tuu kionekane kitu chekundu
Mimi najiuliza je na huyo mume wangu atakuwa bikira? Ili tuende sawahahahaha pyeee afuulipate janaume likufujeee weeee lisikuthamini mwee!
Hivi aliyekutoa Bikra si aliyekugegeda damu ikatoka auSema walioitoa. Maana mmoja aligusa gusa juju akaacha, baadae akaja mwenzake akamaliza mchezo. Walifaidi nusu kwa nusu sasa wote wanagombea mimi ndiye nilikutoa haha