Bikra Na umuhimu wake ktk mahusiano Na ndoa

Bikra Na umuhimu wake ktk mahusiano Na ndoa

Dah bikra hzi sina ham nazo nilichubuka magoti wakati namtoa msichana mmoja bikra hadi leo yana alama, wanawake bikra wanakwepesha mbunye sana
 
Bikra bikra!

Enzi za kale babu zetu walihakikisha watoto wao wanatunza bikra zao hadi siku ya ndoa!

Binti aliyejitunza alionekana kuwa ni bora zaidi Na heshima kubwa kwa wazazi wake!

Njia mbalimbali mfano kutandika kitambaa cheupe ilitumika siku ya kwanza ya fungate kujua kama binti amekutwa bikra au la!

Iwapo ikikutwa damu furaha vigelegele Na nderemo vilitamalaki nyumba nzima!

Mume aliona amepata mke kweli.

Kadiri miaka inavyosonga mtizamo Wa jamii unabadilika!
Sayansi imefanya uwepo Wa bikra bandia!

Je bikra bado ni njia nzuri ya kumtambua mke bora!

Wanawake walioolewa Na bikra Na wale waliozipoteza kabla maisha Na mtizamo Wa wenza wao ni Upi!

Wanaume waliooa bikra watueleze experience!

DJ sepetu
Kwa sasa sio issue sana kwa sababu utakuja kuta watu hawaoi, na kingine wengi wameshakuwa wake za watu tayari kwa ndoa zetu za masaa 12 na shaidi ni Shetani.
 
Sema walioitoa. Maana mmoja aligusa gusa juju akaacha, baadae akaja mwenzake akamaliza mchezo. Walifaidi nusu kwa nusu sasa wote wanagombea mimi ndiye nilikutoa haha
Hivi aliyekutoa Bikra si aliyekugegeda damu ikatoka au
 
Back
Top Bottom