Bikra Na umuhimu wake ktk mahusiano Na ndoa

Bikra Na umuhimu wake ktk mahusiano Na ndoa

mtandao nikomeee! alafu ukitaka kuishi kwa amana zaid mie kwa akili zangu hzi ni bora ukaolewa na mwanaume /mke aliecheza sana na uajna wake... usioe mwanamke ambaye alikua hajafanya starehe baadae atataka kufanya hizo starehe amini hilo ! ni wachache sna wanaoendelea hvyo hvyo! binafs mie ujana ulitumika fresh sana tu starehe na bata amazing sasa hv sijaonaga kipya kwakweli! kila kitu nakiona poa tu....! wknd nipo na wanangu safiiii.... sasa mwanamke hujawah hata kuogelea ukiolewa si utasumbua mtaa wewe jaman! hujawah kwenda club uwiii! maboda boda watakuiba wakupeleke hehehehe,... applies na kwa mwanaume!
Duuuuuuuuuuh! Si utakuta empty set?

Delle Alli
 
Back
Top Bottom