Maana nina bonge la umbea kuhusu huyo mtu, jina lake halisi ni gevin sijui? Ngoja nichek halafu nirud binamu,
Yaan ww hukosagi issue. Una hatari...
Duh... yule jamaa kumbe anajiita Bikra?!!! Si bure huyu... kwema lakini Mrembo? Manake unavokuja kwa kuvizia...huyo kaka anaitwa Seth de giovan. Instagram anajiita bikra wa kisukuma. Anashona nguo kama kadinda..kutwa kujipendekeza kwa mastaa na wenye hela...uso mzito tu kama wa zito kabwe.kwa kifupi hata haeleweki ni nani na wapi alipoibukia. Watu wanadai eti lakini manake mimi aijaona eti sio riziki
Mtu mwenye akili timamu hawezi kukimbia watoto wake na kumuachia mkewe amtunzie wewe ni mental case.
Btw hata Field Marshal ni ID bandia.
Najuta kwann nilichelewa ku mfollw bikira wa kisukuma ana andika vitu vya maana sana insta namkubali ww ponda tuuu
- Hawa wanaozushia wengine lazima wao ndio ma gay ndio maana inakuwa rahisi kuwajua wengine, ndio maana ninasema academically it make a lot of sense ukisema flani ni gay kwa sababu na wewe ni gay huwa mnakutana kwenye ugay, that makes a lot of sense!!
Le Mutuz
Maana nina bonge la umbea kuhusu huyo mtu, jina lake halisi ni gevin sijui? Ngoja nichek halafu nirud binamu,
Nampenda huyu kaka,he is so funny...sijutii kum follow kwa kweli,hayo mengine ni yenu mimi hayanihusu
bila hawa watu jukwaa halinogi. We mwacheWe jamaa hujishangai? Mtu humjui na bado unadai una umbea wake..
Hapo nauhakika story za ushoga zitatamalaki ktk hyo hadithi yako..
Na hvi inakuaje mwanaume km ww unajua habari za unaowaita mashoga wote hapa mjini kama wewe hujihusishi nao? a chia mbali uandishi wako was kikekike humu jukwaani..
Huyu jamaa nimesoma nae tambaza na nikafanyanae kazi vodacom,namfahamu vuzuri saana huyu seth amekua nikijana muhangaikaji saaana shida yake anamatumizi makubwa kuliko kipato anachoingiza
Kuhusu ushoga huyu jamaa si shoga maana sifa kubwa aliyonayo ni kugonga hawa walimbwende amekua na mademu wazuri sana ila amekua hadumu kwenye mahusiano kwasababu ya kufumaniwa
Alikua na demu mmoja aliemaliza mzumbe binti wa kihaya ila waliachana nae baada a jamaa kumgonga rafiki wa yule binti
Wanaosema huyu ni shoga si kweli kabisa na si jambo zuri kumtuhumu mtu kitu kisicho cha kweli huo ni ujinga uliopitiliza
Maana nina bonge la umbea kuhusu huyo mtu, jina lake halisi ni gevin sijui? Ngoja nichek halafu nirud binamu,
Namjua vizur sana huyu jamaa nilisoma nae tambaza , jamaa yupo vizur sana kwenye ubunifu na anatumia fursa ipasavyo na alikuwa na gal friend wakati tupo tambaza high school kuhusu kuacha kazi, hilo naona ni kwa sababu ya masilahi and the gay yupo vizur sana kwenye kuongea amini ukiingia nae kwenye interview anajua sana kujiuza , hilo la ushoga silijui
Hahahahaaa acha nichekeeee miee. Jamani he is my man na nagombana naye karibia kila siku maana ni kitombi balaaa. Sasa kama unadhani ni shoga fanya haya kainame uthibitishe ushoga wake au la sivyo ushamla au mliliwa wote paamoja ndiyo maana mnasema ni shoga. Shame on u hamna ya maana ya kufikiri mnajadili ujinga tuu. Mngekuwa wa maana kama mngemfuata pembeni na kumwambia anachofanya sicho kama una uhakika lakini. Ni sawa na kuniita mimi malaya ilihali hata chupi hujawahi nivua. Kwanza muulizaji mwenyewe hata hajui anaguess tuu. Mwacheni baby wangu jamaniiii ni mzima tena mzima kabisaaa hana huo upuuzii. Hamkawii kusema kama ndivyo basi mchicha mwiba nani asiyewajua kwa kugeuza maneno. Mxiuuuuuuuuuu.