Bila asilimia 60 hupati usajili wa chuo

Bila asilimia 60 hupati usajili wa chuo

The navi 2

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
352
Reaction score
46
Kwa wale ndugu mnao kwenda kuanza shahada ya kwanza kuwa makini sana kwani kuna baadhi ya vyuo hata public sectors vimekuwa vikigoma kabisa kufanya usajili kabla ya kulipa asilimia 60 ya ada.

Mfano, hapa chuo cha uhasibu arusha kama huna 1,003,000 (60%) usajili sahau
pia pale chuo cha usimamizi wa fedha habari nasikia ni hiyo hiyo.
 
Hata chuo cha kodi pale mikocheni..kazi mnayo aisee..ndo madhara ya kusoma kwenye institutions hayo.
 
Kwa wale ndugu mnao kwenda kuanza shahada ya kwanza kuwa makini sana kwani kuna baadhi ya vyuo hata public sectors vimekuwa vikigoma kabisa kufanya usajili kabla ya kulipa asilimia 60 ya ada. Mfano, hapa chuo cha uhasibu arusha kama huna 1,003,000 (60%) usajili sahau
pia pale chuo cha usimamizi wa fedha habari nasikia ni hiyo hiyo.

poleni1
ILA mjitahidi kuwashauri wadogo wenu walio form6 wasome kwa bidii ili waweze kufuzu kujiunga na vyuo vyenye direct cost ndogo, kama77400/=
 
poleni1
ILA mjitahidi kuwashauri wadogo wenu walio form6 wasome kwa bidii ili waweze kufuzu kujiunga na vyuo vyenye direct cost ndogo, kama77400/=

kweli mkuu... Ila unajua hivi vyuo havitabiliki kabisa
 
Back
Top Bottom