Bila asilimia 60 hupati usajili wa chuo


daaah pesa ndefu sana hii . kwani hata nusu hawapokei
 
nchi yetu ya ajabu sana usimamiz sifuri haiwezekani wao walisoma bure hao ma dk na prof ,leo wanakuja na sera za ajabu kwa watu maskini,asilimia 60 za nini,kwanini asmbane mwanafunz mwisho mwa mwaka,kima chini cha mfanyakazi ni laki 2,wanashindwaje ku link kati mishahara ya wafanyakazi wa serikali na gharama za mwanafunzi chuoni after all,asilimia kubwa ya watanzania wanaungaunga hizo ada.
 

kama unadhani elimu ni gharama jaribu ujinga
 
Habari za kajukum wadau, naomba kuuliza kama ni kwel wenye sifa za diploma waliochaguliwa kujiunga na elim ya juu kwa course tofaut na ualim na sayansi hawatapata mkopo kwa asilomia yoyote ile.

nani kasema hayo?
 
Sasa bodi mbona wako kimya hii adha. Hiyo mikopo sindio watu waliomba mapema I thought kuwa wako kisasa. Kwa walioko 2nd /3rd/4th mtoe ushauri juu ya hali nyie ilivyowakuta mlifanyaje kusajili.

tulisubiri.
 

nilisoma hapo i see bila fedha usajili ni shidaa yani stress mpaka unamaliza chuo ada ndio usiombe labda uwe wa kibopa papa mafedha,hosteli zipo kitaa mvua ikianza ndio unajua R chugaa ni wapi!
 
nilisoma hapo i see bila fedha usajili ni shidaa yani stress mpaka unamaliza chuo ada ndio usiombe labda uwe wa kibopa papa mafedha,hosteli zipo kitaa mvua ikianza ndio unajua R chugaa ni wapi!

tutafurahi ukirudi kutusalimia JAY MTAALAM
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…