haya mi nimesoma tu ila sijatoka bure si wanasema mwenda nini si sawa na mkaa bure eh,ntapita tena baadaye, ila pole mkuu kwa yaliyo kukuta maisha ni safari, kwa hiyo sa hivi unauliza kwanza kama mchina au natural kabla ya kazi?
Mamzalendo ni ngumu kupata jibu la swali hilo, la msingi nikuingia na ku test, kama ni ile ya kutengenezwa natema mzigo na kuchapa lapa
nikikumbuka tu ni bikra ya kutengenezwa, na maumivu niliyoyapata natema mzigo. Siko tayari kutokwa damu tena
kweli sio wote walioko kwenye msafara wa mamba hata kenge wamo wewe wa kwanza
ndo umeanza mkakati wa kuzitafuta nini?
nikikumbuka tu ni bikra ya kutengenezwa, na maumivu niliyoyapata natema mzigo. Siko tayari kutokwa damu tena