Bila connections au mafungu ya asante utazungushwa kulipwa kwenye kesi uliyoshinda mahakamani ?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Huwa nasikia watu wanashinda kesi za kulipwa fidia, Baada ya hapo huwa kuna mchakato wa Malipo.

Kwenye mchakato wa kulipwa unaweza kufanikiwa kulipwa bila connections ama mafungu ya asante ?

Tetesi nilizopata zimenisikitisha, kwamba inabidi utoe asilimia kadhaa πŸ˜£πŸ˜“πŸ˜” ili faili lako likimbizwe uwe settled lasivyo utakuwa unapewa tarehe kila ukienda unaishia kusaini.
 
Watu wanaogopa hela za moto, ila bado zinaliwa na maji zipoe haraka, HAKI INANUNULIWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…