Nachokoza hii mada naomba tuchangie Kwa weledi na ustaarabu. Kulingana na masimulizi ya Biblia kitabu cha Mwanzo, binadamu wa kwanza Adamu na Eva waliumbwa na kuishi wakiwa uchi mpaka walipotenda dhambi ndipo walipoona soni maumbile yao ya uzazi kutokufunikwa.
Najiuliza kama hawangehalifu agizo la Mungu je mpaka Leo watu wote tungetembea uchi? Au simulizi hizi zinatumia lugha ya picha ( metaphorical language) na uchi unaosemwa siyo physical nackdness?
Najiuliza kama hawangehalifu agizo la Mungu je mpaka Leo watu wote tungetembea uchi? Au simulizi hizi zinatumia lugha ya picha ( metaphorical language) na uchi unaosemwa siyo physical nackdness?