Ze Bulldozer
JF-Expert Member
- Jun 12, 2020
- 1,070
- 568
Kazi iendeleeDeni la Serikali ya Tanzania viashiria vinaonesha ni stahimilivu na ni tulivu kwa wigo unaokubalika kimataifa kwa kipindi kifupi, cha kati na kirefu
Unafahamu maana ya propaganda? Sifahamu, hebu nisaidie kuifahamu.www.jamiiforums.com
Hakika tunae Rais jembeRais Samia bila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara ameweka rekodi mpya ya ukusanyaji mapato | TRA yakusanya kodi ya TZS 2T mwezi Sept 2021,kazi iendelee||
"Hakuna kama Samia "
Wakati Hayati Rais Mkapa anaondoka madarakani Serikali yake ya awamu ya tatu ilikusanya wastani wa Tshs 322BL kwa mwezi na Wakati Mzee Jakaya Mrisho Kikwete anaondoka madarakani Serikali yake ya awamu ya nne ilikusanya wastani wa Tshs 850BL kwa mwezi na Wakati Hayati Rais John John Joseph Pombe Magufuli anaaga dunia Serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 1.4trl kwa Mwezi hakika wanastahili pongezi sana wazee hawa,
Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuapishwa kuiongoza Serikali kwa awamu ya Sita aliapa kamwe hatokubali Serikali yake kukusanya Kodi ya dhuluma namnukuu "Niheri tukusanye kidogo lakini kiwe cha halali kitatufaa " alisikika kwa Upole na unyenyekevu akiwaasa wateule wake,Rais Samia alishangaa watu kudaiwa kodi za nyuma"Presumptive Tax accessment " wakati tayari wanazo "Tax Clearance " na waliothibitisha kwamba hawadaiwi ni haohao wanaowadai tena kwa mara nyingine ,Kitendo hiki Rais Samia Suluhu alikiita kuwa kwa Mujibu wa Mungu na dini huo ni "udhulumati au dhuluma "
Wakati Serikali ya Rais Samia Suluhu imepanga kutumia Jumla ya Tshs 36.33trl kwa Mwaka wa fedha 2021|2022 mwaka ulioanza tarehe 01|07|2021 ambapo mapato ya ndani yanatarajiwa kuwa
Tshs 26.03trl, sawa na 71.7% ya bajeti yote. Kati ya mapato hayo, mapato ya kodi ni Tshs 22.18trl, sawa na 13.5% ya Pato la Taifa. Aidha, Serikali inalenga kukusanya
mapato yasiyo ya kodi ya Tshs 2.99trl na mapato kutoka
vyanzo vya Halmashauri ni Tshs 863.9BL hii ni bajeti ya maajabu,
Mungu ni mwema,kama kasi yetu ni Tshs 1.97trl au Tshs 2T kwa mwezi,Chukuaa 1.9trl zidisha kwa miezi 12 utapata jumla ya Tshs 22.8 tutavuka lengo kwa 3% naomba mfahamu tangu uhuru hakuna Rais aliwahi kutenga Tshs 36.33trilioni kwa aajili ya bajeti ni Samia and only Samia,
Watanzania wenzangu tuendelee kulipa kodi kwa hiari kwaajili ya maendeleo yetu na ya watoto wetu na yawatoto wao,Tanzania tuko vizuri Sana kwa sasa pengine tangu uhuru japo ni niukweli mchungu kwa wengine.
View attachment 1961007
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
nimesomaDeni la Serikali ya Tanzania viashiria vinaonesha ni stahimilivu na ni tulivu kwa wigo unaokubalika kimataifa kwa kipindi kifupi, cha kati na kirefu
Unafahamu maana ya propaganda? Sifahamu, hebu nisaidie kuifahamu.www.jamiiforums.com
KaziiendeleeRais Samia bila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara ameweka rekodi mpya ya ukusanyaji mapato | TRA yakusanya kodi ya TZS 2T mwezi Sept 2021,kazi iendelee||
"Hakuna kama Samia "
Wakati Hayati Rais Mkapa anaondoka madarakani Serikali yake ya awamu ya tatu ilikusanya wastani wa Tshs 322BL kwa mwezi na Wakati Mzee Jakaya Mrisho Kikwete anaondoka madarakani Serikali yake ya awamu ya nne ilikusanya wastani wa Tshs 850BL kwa mwezi na Wakati Hayati Rais John John Joseph Pombe Magufuli anaaga dunia Serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 1.4trl kwa Mwezi hakika wanastahili pongezi sana wazee hawa,
Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuapishwa kuiongoza Serikali kwa awamu ya Sita aliapa kamwe hatokubali Serikali yake kukusanya Kodi ya dhuluma namnukuu "Niheri tukusanye kidogo lakini kiwe cha halali kitatufaa " alisikika kwa Upole na unyenyekevu akiwaasa wateule wake,Rais Samia alishangaa watu kudaiwa kodi za nyuma"Presumptive Tax accessment " wakati tayari wanazo "Tax Clearance " na waliothibitisha kwamba hawadaiwi ni haohao wanaowadai tena kwa mara nyingine ,Kitendo hiki Rais Samia Suluhu alikiita kuwa kwa Mujibu wa Mungu na dini huo ni "udhulumati au dhuluma "
Wakati Serikali ya Rais Samia Suluhu imepanga kutumia Jumla ya Tshs 36.33trl kwa Mwaka wa fedha 2021|2022 mwaka ulioanza tarehe 01|07|2021 ambapo mapato ya ndani yanatarajiwa kuwa
Tshs 26.03trl, sawa na 71.7% ya bajeti yote. Kati ya mapato hayo, mapato ya kodi ni Tshs 22.18trl, sawa na 13.5% ya Pato la Taifa. Aidha, Serikali inalenga kukusanya
mapato yasiyo ya kodi ya Tshs 2.99trl na mapato kutoka
vyanzo vya Halmashauri ni Tshs 863.9BL hii ni bajeti ya maajabu,
Mungu ni mwema,kama kasi yetu ni Tshs 1.97trl au Tshs 2T kwa mwezi,Chukuaa 1.9trl zidisha kwa miezi 12 utapata jumla ya Tshs 22.8 tutavuka lengo kwa 3% naomba mfahamu tangu uhuru hakuna Rais aliwahi kutenga Tshs 36.33trilioni kwa aajili ya bajeti ni Samia and only Samia,
Watanzania wenzangu tuendelee kulipa kodi kwa hiari kwaajili ya maendeleo yetu na ya watoto wetu na yawatoto wao,Tanzania tuko vizuri Sana kwa sasa pengine tangu uhuru japo ni niukweli mchungu kwa wengine.
View attachment 1961007
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
Kubwa kuliko hii, Nasema hakuna kama SamiaSerikali yakusanya kodi Sh1.9 trilioni Septemba
SATURDAY OCTOBER 02 2021
Summary
Serikali imesema imekusanya kodi ya Sh1.9 trilioni kwa kipindi cha Septemba mwaka huu ikiwa ni sawa na asilimia 93.
Morogoro. Serikali imesema imekusanya kodi ya Sh1.9 trilioni kwa kipindi cha Septemba mwaka huu ikiwa ni sawa na asilimia 93.
Akizungumza na vyombo vya habari leo Jumamosi, Oktoba 2, 2021 Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema makusanyo hayo ni makubwa kulinganisha na kipindi kama hicho mwaka 2020.
“Tuliweka malengo ya kukusanya Sh2.1trilioni, ukusanyaji huu ni mkubwa ukilinganisha na mwaka jana kipindi kama hiki tulikusanya Sh1.7 trilioni ambazo ni sawa na asilimia 80 ya malengo tuliyojiwekea ya kukusanya Sh2.2 trilioni” amesema Msigwa.

Matumizi yetu yakoje kwa mweziRais Samia bila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara ameweka rekodi mpya ya ukusanyaji mapato | TRA yakusanya kodi ya TZS 2T mwezi Sept 2021,kazi iendelee||
"Hakuna kama Samia "
Wakati Hayati Rais Mkapa anaondoka madarakani Serikali yake ya awamu ya tatu ilikusanya wastani wa Tshs 322BL kwa mwezi na Wakati Mzee Jakaya Mrisho Kikwete anaondoka madarakani Serikali yake ya awamu ya nne ilikusanya wastani wa Tshs 850BL kwa mwezi na Wakati Hayati Rais John John Joseph Pombe Magufuli anaaga dunia Serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 1.4trl kwa Mwezi hakika wanastahili pongezi sana wazee hawa,
Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuapishwa kuiongoza Serikali kwa awamu ya Sita aliapa kamwe hatokubali Serikali yake kukusanya Kodi ya dhuluma namnukuu "Niheri tukusanye kidogo lakini kiwe cha halali kitatufaa " alisikika kwa Upole na unyenyekevu akiwaasa wateule wake,Rais Samia alishangaa watu kudaiwa kodi za nyuma"Presumptive Tax accessment " wakati tayari wanazo "Tax Clearance " na waliothibitisha kwamba hawadaiwi ni haohao wanaowadai tena kwa mara nyingine ,Kitendo hiki Rais Samia Suluhu alikiita kuwa kwa Mujibu wa Mungu na dini huo ni "udhulumati au dhuluma "
Wakati Serikali ya Rais Samia Suluhu imepanga kutumia Jumla ya Tshs 36.33trl kwa Mwaka wa fedha 2021|2022 mwaka ulioanza tarehe 01|07|2021 ambapo mapato ya ndani yanatarajiwa kuwa
Tshs 26.03trl, sawa na 71.7% ya bajeti yote. Kati ya mapato hayo, mapato ya kodi ni Tshs 22.18trl, sawa na 13.5% ya Pato la Taifa. Aidha, Serikali inalenga kukusanya
mapato yasiyo ya kodi ya Tshs 2.99trl na mapato kutoka
vyanzo vya Halmashauri ni Tshs 863.9BL hii ni bajeti ya maajabu,
Mungu ni mwema,kama kasi yetu ni Tshs 1.97trl au Tshs 2T kwa mwezi,Chukuaa 1.9trl zidisha kwa miezi 12 utapata jumla ya Tshs 22.8 tutavuka lengo kwa 3% naomba mfahamu tangu uhuru hakuna Rais aliwahi kutenga Tshs 36.33trilioni kwa aajili ya bajeti ni Samia and only Samia,
Watanzania wenzangu tuendelee kulipa kodi kwa hiari kwaajili ya maendeleo yetu na ya watoto wetu na yawatoto wao,Tanzania tuko vizuri Sana kwa sasa pengine tangu uhuru japo ni niukweli mchungu kwa wengine.
View attachment 1961007
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
Kazi ni nzuri sana bro,
Kwani tozo ni kodi mjomba?Bila tozo hali ingekuwa mbaya mara mia ya sasa.
Nawasiwasi kuna miradi inakwenda kubakia magofu.
Trust me.
Hizo sio kodi lakini JombaaMiamala na tozo za ktk umeme, hata mie ningekusanya hizo, tena zaidi maana ningeziba magepu ya ufisadi na upigaji...
Namkubali sana Rais SamiaRais Samia bila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara ameweka rekodi mpya ya ukusanyaji mapato | TRA yakusanya kodi ya TZS 2T mwezi Sept 2021,kazi iendelee||
"Hakuna kama Samia "
Wakati Hayati Rais Mkapa anaondoka madarakani Serikali yake ya awamu ya tatu ilikusanya wastani wa Tshs 322BL kwa mwezi na Wakati Mzee Jakaya Mrisho Kikwete anaondoka madarakani Serikali yake ya awamu ya nne ilikusanya wastani wa Tshs 850BL kwa mwezi na Wakati Hayati Rais John John Joseph Pombe Magufuli anaaga dunia Serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 1.4trl kwa Mwezi hakika wanastahili pongezi sana wazee hawa,
Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuapishwa kuiongoza Serikali kwa awamu ya Sita aliapa kamwe hatokubali Serikali yake kukusanya Kodi ya dhuluma namnukuu "Niheri tukusanye kidogo lakini kiwe cha halali kitatufaa " alisikika kwa Upole na unyenyekevu akiwaasa wateule wake,Rais Samia alishangaa watu kudaiwa kodi za nyuma"Presumptive Tax accessment " wakati tayari wanazo "Tax Clearance " na waliothibitisha kwamba hawadaiwi ni haohao wanaowadai tena kwa mara nyingine ,Kitendo hiki Rais Samia Suluhu alikiita kuwa kwa Mujibu wa Mungu na dini huo ni "udhulumati au dhuluma "
Wakati Serikali ya Rais Samia Suluhu imepanga kutumia Jumla ya Tshs 36.33trl kwa Mwaka wa fedha 2021|2022 mwaka ulioanza tarehe 01|07|2021 ambapo mapato ya ndani yanatarajiwa kuwa
Tshs 26.03trl, sawa na 71.7% ya bajeti yote. Kati ya mapato hayo, mapato ya kodi ni Tshs 22.18trl, sawa na 13.5% ya Pato la Taifa. Aidha, Serikali inalenga kukusanya
mapato yasiyo ya kodi ya Tshs 2.99trl na mapato kutoka
vyanzo vya Halmashauri ni Tshs 863.9BL hii ni bajeti ya maajabu,
Mungu ni mwema,kama kasi yetu ni Tshs 1.97trl au Tshs 2T kwa mwezi,Chukuaa 1.9trl zidisha kwa miezi 12 utapata jumla ya Tshs 22.8 tutavuka lengo kwa 3% naomba mfahamu tangu uhuru hakuna Rais aliwahi kutenga Tshs 36.33trilioni kwa aajili ya bajeti ni Samia and only Samia,
Watanzania wenzangu tuendelee kulipa kodi kwa hiari kwaajili ya maendeleo yetu na ya watoto wetu na yawatoto wao,Tanzania tuko vizuri Sana kwa sasa pengine tangu uhuru japo ni niukweli mchungu kwa wengine.
View attachment 1961007
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
Ningumu kukuelewaHizo sio kodi lakini Jombaa
Kaziiendelee tu kwakweliRais Samia bila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara ameweka rekodi mpya ya ukusanyaji mapato | TRA yakusanya kodi ya TZS 2T mwezi Sept 2021,kazi iendelee||
"Hakuna kama Samia "
Wakati Hayati Rais Mkapa anaondoka madarakani Serikali yake ya awamu ya tatu ilikusanya wastani wa Tshs 322BL kwa mwezi na Wakati Mzee Jakaya Mrisho Kikwete anaondoka madarakani Serikali yake ya awamu ya nne ilikusanya wastani wa Tshs 850BL kwa mwezi na Wakati Hayati Rais John John Joseph Pombe Magufuli anaaga dunia Serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 1.4trl kwa Mwezi hakika wanastahili pongezi sana wazee hawa,
Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuapishwa kuiongoza Serikali kwa awamu ya Sita aliapa kamwe hatokubali Serikali yake kukusanya Kodi ya dhuluma namnukuu "Niheri tukusanye kidogo lakini kiwe cha halali kitatufaa " alisikika kwa Upole na unyenyekevu akiwaasa wateule wake,Rais Samia alishangaa watu kudaiwa kodi za nyuma"Presumptive Tax accessment " wakati tayari wanazo "Tax Clearance " na waliothibitisha kwamba hawadaiwi ni haohao wanaowadai tena kwa mara nyingine ,Kitendo hiki Rais Samia Suluhu alikiita kuwa kwa Mujibu wa Mungu na dini huo ni "udhulumati au dhuluma "
Wakati Serikali ya Rais Samia Suluhu imepanga kutumia Jumla ya Tshs 36.33trl kwa Mwaka wa fedha 2021|2022 mwaka ulioanza tarehe 01|07|2021 ambapo mapato ya ndani yanatarajiwa kuwa
Tshs 26.03trl, sawa na 71.7% ya bajeti yote. Kati ya mapato hayo, mapato ya kodi ni Tshs 22.18trl, sawa na 13.5% ya Pato la Taifa. Aidha, Serikali inalenga kukusanya
mapato yasiyo ya kodi ya Tshs 2.99trl na mapato kutoka
vyanzo vya Halmashauri ni Tshs 863.9BL hii ni bajeti ya maajabu,
Mungu ni mwema,kama kasi yetu ni Tshs 1.97trl au Tshs 2T kwa mwezi,Chukuaa 1.9trl zidisha kwa miezi 12 utapata jumla ya Tshs 22.8 tutavuka lengo kwa 3% naomba mfahamu tangu uhuru hakuna Rais aliwahi kutenga Tshs 36.33trilioni kwa aajili ya bajeti ni Samia and only Samia,
Watanzania wenzangu tuendelee kulipa kodi kwa hiari kwaajili ya maendeleo yetu na ya watoto wetu na yawatoto wao,Tanzania tuko vizuri Sana kwa sasa pengine tangu uhuru japo ni niukweli mchungu kwa wengine.
View attachment 1961007
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
Kaangalie kwenye bajeti mkuuMatumizi yetu yakoje kwa mwezi
Someni hii vizuriRais Samia bila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara ameweka rekodi mpya ya ukusanyaji mapato | TRA yakusanya kodi ya TZS 2T mwezi Sept 2021,kazi iendelee||
"Hakuna kama Samia "
Wakati Hayati Rais Mkapa anaondoka madarakani Serikali yake ya awamu ya tatu ilikusanya wastani wa Tshs 322BL kwa mwezi na Wakati Mzee Jakaya Mrisho Kikwete anaondoka madarakani Serikali yake ya awamu ya nne ilikusanya wastani wa Tshs 850BL kwa mwezi na Wakati Hayati Rais John John Joseph Pombe Magufuli anaaga dunia Serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 1.4trl kwa Mwezi hakika wanastahili pongezi sana wazee hawa,
Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuapishwa kuiongoza Serikali kwa awamu ya Sita aliapa kamwe hatokubali Serikali yake kukusanya Kodi ya dhuluma namnukuu "Niheri tukusanye kidogo lakini kiwe cha halali kitatufaa " alisikika kwa Upole na unyenyekevu akiwaasa wateule wake,Rais Samia alishangaa watu kudaiwa kodi za nyuma"Presumptive Tax accessment " wakati tayari wanazo "Tax Clearance " na waliothibitisha kwamba hawadaiwi ni haohao wanaowadai tena kwa mara nyingine ,Kitendo hiki Rais Samia Suluhu alikiita kuwa kwa Mujibu wa Mungu na dini huo ni "udhulumati au dhuluma "
Wakati Serikali ya Rais Samia Suluhu imepanga kutumia Jumla ya Tshs 36.33trl kwa Mwaka wa fedha 2021|2022 mwaka ulioanza tarehe 01|07|2021 ambapo mapato ya ndani yanatarajiwa kuwa
Tshs 26.03trl, sawa na 71.7% ya bajeti yote. Kati ya mapato hayo, mapato ya kodi ni Tshs 22.18trl, sawa na 13.5% ya Pato la Taifa. Aidha, Serikali inalenga kukusanya
mapato yasiyo ya kodi ya Tshs 2.99trl na mapato kutoka
vyanzo vya Halmashauri ni Tshs 863.9BL hii ni bajeti ya maajabu,
Mungu ni mwema,kama kasi yetu ni Tshs 1.97trl au Tshs 2T kwa mwezi,Chukuaa 1.9trl zidisha kwa miezi 12 utapata jumla ya Tshs 22.8 tutavuka lengo kwa 3% naomba mfahamu tangu uhuru hakuna Rais aliwahi kutenga Tshs 36.33trilioni kwa aajili ya bajeti ni Samia and only Samia,
Watanzania wenzangu tuendelee kulipa kodi kwa hiari kwaajili ya maendeleo yetu na ya watoto wetu na yawatoto wao,Tanzania tuko vizuri Sana kwa sasa pengine tangu uhuru japo ni niukweli mchungu kwa wengine.
View attachment 1961007
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
KaziiendeleeAWAMU YA TANO MOTO MKALI,
UKIKIMBIA NCHALE,UKISIMAMA NCHALE, UKIKAA NCHALE
KWELI SAMIA NI LEVEL ZINGINE,
SAMIA KURA YANGU CHUKUA 2025