MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,281
- 1,251
- Thread starter
-
- #21
hawajielewi kwani Mungu hasaidii uovu. wanaomwomba Mungu ktk mema wanapataAsilimia kubwa ya watu wanaogopa sheria sio imani au Mungu, watu wanahofu kufungwa kunyongwa kupigwa risasi kuchomwa moto n.k ndio maana hata wezi humuomba Mungu wanapokwenda kuiba.
dini imewalea hadi wakafika hapo. na wanapoiacha dini wanakosa faida zake. faida za dini sio amani tu kama nilivyoeleza kwenye uzi hapo juu. vipi maadili yao? huko ndiko kuna 'legalized abortion and euthanasia'. haya ni mauaji ambayo yanaashiria sio tu maadili hamna bali pia amani.Nchi zinazoongoza kwa amani duniani ni Scandinavian countries ambazo watu wake wengi hawana dini.
Si wameona dini haina jipya ndio maana wameikacha. Kama dini ingekuwa ni muhimu kihivyo wasingeikacha.dini imewalea hadi wakafika hapo. na wanapoiacha dini wanakosa faida zake. faida za dini sio amani tu kama nilivyoeleza kwenye uzi hapo juu. vipi maadili yao? huko ndiko kuna 'legalized abortion and euthanasia'. haya ni mauaji ambayo yanaashiria sio tu maadili hamna bali pia amani.
tupe somo hapoThe Book of Deuteronomy (from Greek Δευτερονόμιον, Deuteronómion, "second law"; Hebrew: דְּבָרִים, Devārīm, "[spoken] words") is the fifth book of the Hebrew Bible, and of the Jewish Torah. The Hebrew title is taken from the opening phrase Eleh ha-devarim, "These are the words..."; the English title is from a Greek mistranslation of the Hebrew phrase mishneh ha-torah ha-zoth, "a copy of this law", in Deuteronomy 17:18, as to deuteronomion touto – "this second law".[1]
The book consists of three sermons or speeches delivered to the Israelites by Moses on the plains of Moab, shortly before they enter the Promised Land. The first sermon recapitulates the forty years of wilderness wanderings which have led to this moment, and ends with an exhortation to observe the law (or teachings), later referred to as the Law of Moses; the second reminds the Israelites of the need for exclusive allegiance to one God and observance of the laws (or teachings) he has given them, on which their possession of the land depends; and the third offers the comfort that even should Israel prove unfaithful and so lose the land, with repentance all can be restored.[2]
Traditionally seen as the words of Moses delivered before the conquest of Canaan, modern scholarship sees its origins in traditions from Israel (the northern kingdom) brought south to the Kingdom of Judah in the wake of the Assyrian destruction of Samaria (8th century BC) and then adapted to a program of nationalist reform in the time of King Josiah (late 7th century), with the final form of the modern book emerging in the milieu of the return from the Babylonian exile during the late 6th century.[3] Many scholars see the book as reflecting the economic needs and social status of the Levitical caste, who are believed to have provided its authors.[4]
One of its most significant verses is Deuteronomy 6:4, the Shema, which has become the definitive statement of Jewish identity: "Hear, O Israel: the LORD our God, the LORD is one." Verses 6:4–5 were also quoted by Jesus in Mark 12:28–34 as part of theGreat Commandment.
hii kweli kali: utibu ugonjwa(psychological trauma) wa mtu mmoja kwa kuua mwingine?hii siyo sawa hata kidogo.Si wameona dini haina jipya ndio maana wameikacha. Kama dini ingekuwa ni muhimu kihivyo wasingeikacha.
Abortion na Euthanasia sio viashiria vya kukosekana kwa maadili wakati wote. Wakati mwingine abortion inasaidia kumuepusha mwanamke na psychological trauma.
tupe somo hapo
Wakati mwingine zinatokea birth complications ambazo solutions zake ni kuabort. Unaweza kuwauliza madaktari watakuambia vizurihii kweli kali: utibu ugonjwa(psychological trauma) wa mtu mmoja kwa kuua mwingine?hii siyo sawa hata kidogo.
ni kweli kuna complications. ila abortion zinazokubalika kimaadili ni zile ambazo bila kufanyika mama anaweza kufa. kumbuka kuabort ni kuua. kama unaabort ili kutibu trauma hii si sawa.Wakati mwingine zinatokea birth complications ambazo solutions zake ni kuabort. Unaweza kuwauliza madaktari watakuambia vizuri
China Dini ni marufuku, kwenye katiba yao watu wengi ndiyo hawana dini?China hakuna dini lakini kuna amani! Au wasemaje
Hapana dini zipo. Angali posts zipo tumeweka aina za diniChina Dini ni marufuku, kwenye katiba yao watu wengi ndiyo hawana dini?
Bila dini ndugu yangu hata Mungu hayupo, asiye na dinii hata uwepo wa Mungu hautambui.Naanza kwa kusema sio kweli kwamba dini zimeleta amani,kwanza kabisa hizi dini mnazoziabudu zisomeni jinsi gani zilianza na kuenea duniani,pili hakuna dini yoyote iliyoletwa na Mungu isipokuwa hao waliotunga au kuzianzisha hizi dini tena kwa sababau zao (for political reasons,ku-control na ku-dominate) ndio waliomuhusisha Mungu kwenye hizo dini,naomba pia usome na uelewe jinsi uislamu ulivyoanza na kuenea,soma jinsi ukristo ulivyoanza na kuenea duniani kisha utajua kama dini zimeleta amani au la......huu ni mwaka 2016 jamani inatupasa tuanze kutumia vichwa vyetu sasa kufikiria na kupambanua haya mambo,mpaka lini tutaacha kuabudu na kuwa watumwa kwa interpretations za watu wengine?kwa taarifa yako dini zimeleta maafa makubwa kuliko kuokoa na bado zinaendelea kuangamiza mamilioni kwa mamilioni ya watu,wasomeni vizuri hata hao walioanzisha hizi dini muone walikuwa watu wa namna gani?
Imenishanga ile coment yako pale juu.Hapana dini zipo. Angali posts zipo tumeweka aina za dini
Kweli kabisa mkuu.dini imewalea hadi wakafika hapo. na wanapoiacha dini wanakosa faida zake. faida za dini sio amani tu kama nilivyoeleza kwenye uzi hapo juu. vipi maadili yao? huko ndiko kuna 'legalized abortion and euthanasia'. haya ni mauaji ambayo yanaashiria sio tu maadili hamna bali pia amani.
Zipo lakini nadhani hawaruhusiwi ku practice hasa hizi za kisasa zinazoleta brainwashing kuna limitation kubwa sana. Wakatoliki Askofu wanawachaguliwa na serikali!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Imenishanga ile coment yako pale juu.
kivip mkuu?msingi wa hizo sheria ni torati ya mussa
hali ingekuwa mbaya zaidiHapa tulipo dini zipo lkn tunaishi kama wanyama je kwa mfano zisingekuwepo ingekuaje?