Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Nimemsikiliza Rostam Aziz anavyochambua hasara za matumizi ya bandari ya Dar es salaam na nimemuelewa kumbe tatizo ni uendeshaji mbovu na wa kizamani na unaotoa sababu za rushwa.
Kwa mifano yake hiyo inaonekana nchi jirani za Tanzania wameshatujua na wamekata tamaa na sisi ndio sababu wameamua kuchukua hatua zao kimya kimya wakituona sisi ni kichwa maji.
Kama kuna watanzania wanaiogopa DP world kwa kuhofia waarabu basi watuletee mwekezaji mwengine mfano wake lakini lazima tuochane na uendeshaji wa TICTS.
Bila hivyo tutarudi nyuma kiuchumi pamoja na utajiri wa bandari tulizonazo.