Naomba utuwekee mkataba baina ya Rwanda na dp na mkataba wetu na dpNimemsikiliza Rostam Aziz anavyochambua hasara za matumizi ya bandari ya Dar es salaam na nimemuelewa kumbe tatizo ni uendeshaji mbovu na wa kizamani na unaotoa sababu za rushwa.
Kwa mifano yake hiyo inaonekana nchi jirani za Tanzania wameshatujua na wamekata tamaa na sisi ndio sababu wameamua kuchukua hatua zao kimya kimya wakituona sisi ni kichwa maji.
Kama kuna watanzania wanaiogopa DP world kwa kuhofia waarabu basi watuletee mwekezaji mwengine mfano wake lakini lazima tuochane na uendeshaji wa TICTS.
Bila hivyo tutarudi nyuma kiuchumi pamoja na utajiri wa bandari tulizonazo.
Hata bila kukuwekea mkataba wenyewe mawazo na kutumia akili inatosha kupata picha ya kinachoendelea na kinachotarajiwa.Naomba utuwekee mkataba baina ya Rwanda na dp na mkataba wetu na dp
Ni kweli Hau!Hata bila kukuwekea mkataba wenyewe mawazo na kutumia akili inatosha kupata picha ya kinachoendelea na kinachotarajiwa.
Kama umejifanya mjanga na unanitega nakwambia.Naamini wewe na mimi ni sawa.Si mwanasheria na wala hatujausoma mkataba wote,Na asilimia kubwa ya unaowasikia wakiusemea mkataba huu na hata walioamua kuingia mtaani kuandamana ni kama mimi na wewe.Pamoja na hivyo mawazo yetu sote yana maana kusikilizwa na mengine ni utumbo mtupu, Kama umemsikiliza Rostama hawezi kuwa kama wewe na mimi.
Rost tamu anatakiwa atoe maoni hayo akiwa behind bars!!!Nimemsikiliza Rostam Aziz anavyochambua hasara za matumizi ya bandari ya Dar es salaam na nimemuelewa kumbe tatizo ni uendeshaji mbovu na wa kizamani na unaotoa sababu za rushwa.
Kwa mifano yake hiyo inaonekana nchi jirani za Tanzania wameshatujua na wamekata tamaa na sisi ndio sababu wameamua kuchukua hatua zao kimya kimya wakituona sisi ni kichwa maji.
Kama kuna watanzania wanaiogopa DP world kwa kuhofia waarabu basi watuletee mwekezaji mwengine mfano wake lakini lazima tuochane na uendeshaji wa TICTS.
Bila hivyo tutarudi nyuma kiuchumi pamoja na utajiri wa bandari tulizonazo.
TATIZO SIO DP WORLD, NI MKATABANimemsikiliza Rostam Aziz anavyochambua hasara za matumizi ya bandari ya Dar es salaam na nimemuelewa kumbe tatizo ni uendeshaji mbovu na wa kizamani na unaotoa sababu za rushwa.
Kwa mifano yake hiyo inaonekana nchi jirani za Tanzania wameshatujua na wamekata tamaa na sisi ndio sababu wameamua kuchukua hatua zao kimya kimya wakituona sisi ni kichwa maji.
Kama kuna watanzania wanaiogopa DP world kwa kuhofia waarabu basi watuletee mwekezaji mwengine mfano wake lakini lazima tuochane na uendeshaji wa TICTS.
Bila hivyo tutarudi nyuma kiuchumi pamoja na utajiri wa bandari tulizonazo.
Ni kwamba hatuna serikali? Serikali imeshindwa vita ya rushwa mpaka tupate wageni watuoneshe jinsi ya kujiendesha? Sisi ni bure kabisa!Nimemsikiliza Rostam Aziz anavyochambua hasara za matumizi ya bandari ya Dar es salaam na nimemuelewa kumbe tatizo ni uendeshaji mbovu na wa kizamani na unaotoa sababu za rushwa.