Eng. Smasher
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 745
- 23
Smasher nadhani unasumbuliwa na moshi wa bangiiiiiiiiiii
jamani haka kasichana kananikosha ile mbaya kila nikienda sehemu za sitarehe lazima nikatafute nikatumie ndo niijisikie raha!!
bila haka kasichana sipati usingizi vizuri usiku lazima nikaote,sio siri ni katamu sana coz sio kama yale majimama yanalegeza sana mwili wangu ndo maana siyapendi!!!
haka kasichana nakapenda sana lazima kesho nikatafute na niwe nako muda wote i hope wote mpendao visichana tutajumika wote!!!
erry xmas and happy new year wanywaji wote wa kasichana(konyagi)!!!!
eng. vip kazi zimekuzidi mno hadi unaanza kuabudu konyagi?
Smasher nadhani unasumbuliwa na moshi wa bangiiiiiiiiiii
Smasher nadhani unasumbuliwa na moshi wa bangiiiiiiiiiii
ila kanakaanga maini,figo na utumbo.
Kanaweza kakawa kamebookiwa na wajanja wengine.....
Usiseme lazima na uhehe wako utajinyonga bure uwe na kiasi!
sishangai Eng. akitumia msuba + kasichana!!!maisha aliyoyachagua aende nayo bila utumiaji wa hayo mambo issue zinakuwa haziendi bana!!!
sishangai Eng. akitumia msuba + kasichana!!!maisha aliyoyachagua aende nayo bila utumiaji wa hayo mambo issue zinakuwa haziendi bana!!!
Bacha tafadhali sana Mkuu, usigeneralise mambo, mbona tuko wengi Ma Engineer na hatutumii hivyo visichana na vitu vya Arusha, sijui Moro etc.
Bacha tafadhali sana Mkuu, usigeneralise mambo, mbona tuko wengi Ma Engineer na hatutumii hivyo visichana na vitu vya Arusha, sijui Moro etc.
Inategemea wewe Mhandisi wa nini hebu nambie mkuu??!!
VISICHANA vitamu si mchezo vinaleta munkari wa kupiga kazi bila kuchoka!!
yeah, mimi si Eng lakini kiukweli huwa nikipata kisichana pamoja na hicho cha moro au Arusha, aaaah bana weeeeeeeeeeee siku inaenda shwari yahe!!!!!!
Ndo muda wa kuburudika baada ya kazi nzito za ki-injinia!!
Bila KONYAGI kazi huwa haziendi Mallaba!!
Duu, Kumbe hapa panazungumziwa Kinywaji aina ya konyagi