Bila Haka Kasichana Sijisikii Raha ya kutoka Out.....!!!

Bila Haka Kasichana Sijisikii Raha ya kutoka Out.....!!!

Eng. Smasher

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2010
Posts
745
Reaction score
23
Jamani haka KASICHANA kananikosha ile mbaya kila nikienda sehemu za sitarehe lazima nikatafute NIKATUMIE ndo niijisikie RAHA!!

Bila haka KASICHANA sipati usingizi vizuri usiku lazima nikaote,sio siri ni KATAMU sana coz sio kama yale MAJIMAMA yanalegeza sana mwili wangu ndo maana siyapendi!!!

Haka KASICHANA nakapenda sana lazima kesho nikatafute na niwe nako muda wote I HOPE WOTE MPENDAO VISICHANA TUTAJUMIKA WOTE!!!

MERRY Xmas and HAPPY NEW YEAR wanywaji wote wa KASICHANA(KONYAGI)!!!!
 
eng. vip kazi zimekuzidi mno hadi unaanza kuabudu konyagi?
 
jamani haka kasichana kananikosha ile mbaya kila nikienda sehemu za sitarehe lazima nikatafute nikatumie ndo niijisikie raha!!

bila haka kasichana sipati usingizi vizuri usiku lazima nikaote,sio siri ni katamu sana coz sio kama yale majimama yanalegeza sana mwili wangu ndo maana siyapendi!!!

haka kasichana nakapenda sana lazima kesho nikatafute na niwe nako muda wote i hope wote mpendao visichana tutajumika wote!!!

erry xmas and happy new year wanywaji wote wa kasichana(konyagi)!!!!

Kanaweza kakawa kamebookiwa na wajanja wengine.....

Usiseme lazima na uhehe wako utajinyonga bure uwe na kiasi!
 
Smasher nadhani unasumbuliwa na moshi wa bangiiiiiiiiiii

sishangai Eng. akitumia msuba + kasichana!!!maisha aliyoyachagua aende nayo bila utumiaji wa hayo mambo issue zinakuwa haziendi bana!!!
 
sishangai Eng. akitumia msuba + kasichana!!!maisha aliyoyachagua aende nayo bila utumiaji wa hayo mambo issue zinakuwa haziendi bana!!!

Bacha tafadhali sana Mkuu, usigeneralise mambo, mbona tuko wengi Ma Engineer na hatutumii hivyo visichana na vitu vya Arusha, sijui Moro etc.
 
Hapo umenena Bacha bila KASICHANA issue znakuwa haziendi kabisa!!
Siku nzima unashinda unaongea na MASHINE unafikiri mchezo??!!

sishangai Eng. akitumia msuba + kasichana!!!maisha aliyoyachagua aende nayo bila utumiaji wa hayo mambo issue zinakuwa haziendi bana!!!
 
Inategemea wewe Mhandisi wa nini hebu nambie mkuu??!!
VISICHANA vitamu si mchezo vinaleta munkari wa kupiga kazi bila kuchoka!!

Bacha tafadhali sana Mkuu, usigeneralise mambo, mbona tuko wengi Ma Engineer na hatutumii hivyo visichana na vitu vya Arusha, sijui Moro etc.
 
Bacha tafadhali sana Mkuu, usigeneralise mambo, mbona tuko wengi Ma Engineer na hatutumii hivyo visichana na vitu vya Arusha, sijui Moro etc.

OK, pole kiraka, lakini ninavyoamini mimi Eng wa ukweli ni aghalabu sana kumkuta hatumii hayo mambo
 
Inategemea wewe Mhandisi wa nini hebu nambie mkuu??!!
VISICHANA vitamu si mchezo vinaleta munkari wa kupiga kazi bila kuchoka!!

yeah, mimi si Eng lakini kiukweli huwa nikipata kisichana pamoja na hicho cha moro au Arusha, aaaah bana weeeeeeeeeeee siku inaenda shwari yahe!!!!!!
 
Duu, Kumbe hapa panazungumziwa Kinywaji aina ya konyagi
 
Duh!! Haya sasa inabidi tutafute sehemu tupige visichana ili sikukuu iende njema si unajua BIRTHDAY ya EMMANUEL??!!

yeah, mimi si Eng lakini kiukweli huwa nikipata kisichana pamoja na hicho cha moro au Arusha, aaaah bana weeeeeeeeeeee siku inaenda shwari yahe!!!!!!
 
haya bwana mkuu kazi kwako, naona hii kitu iko apeciality zaidi wala sio kiu tu, bali inategemeanaa na kazi unayoifanya, au nakosea engineer?
Ndo muda wa kuburudika baada ya kazi nzito za ki-injinia!!
Bila KONYAGI kazi huwa haziendi Mallaba!!
 
Duu, Kumbe hapa panazungumziwa Kinywaji aina ya konyagi

Hatutajua unawashwa mpaka ukijikuna
Huwezi kujua KASICHANA mpaka uwe mtumiaji!!

progress.gif
 
Back
Top Bottom