Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha! Mkuu mezea tu (iwe siri yako)Haaa haaaaa...mkuu umefikishwa kwenye huu uzi
Usifananishe nazi na jiwe. Mwanaume hana deadline ya kutoa mbegu, lkn mwanamke akifikisha 35 mayai yanakoma kutokq. Ukioa mwanamke wa miaka 35 unakuwa umeoa gunia la kukojolea tu.Mtoa mada hujielewi, unasema mdada ana 33 years, unauliza alikuwa wap haolewi ? Mbona ww una 40+ alafu hujaoa? Na wewe ulikuwa wap ?
Hapa dhahiri jinsia yako ni -me.Usifananishe nazi na jiwe. Mwanaume hana deadline ya kutoa mbegu, lkn mwanamke akifikisha 35 mayai yanakoma kutokq. Ukioa mwanamke wa miaka 35 unakuwa umeoa gunia la kukojolea tu.
dah,imetosha sasa acheni hawa mabinti wapumzike.Unaoa mwanamke miaka 30+ !!? Kwann ujitwike zigo la kulea bibi kizee?
Mugabe kamzidi Grace Mugabe (mkewe) miaka 42. Tafsiri yake ni kwamba kama Grace alikuwa na miaka 20 wakati anaolewa basi Mugabe alikuwa na umri wa miaka (42+20).
Wewe bado hata hustahili kuoa. Unawahi wapi. Endelea kusoma kama unasoma na kama umeajiriwa piga pqpuchi mpya kila weekend
Kijana una kiwango gani cha elimu wewe?Usifananishe nazi na jiwe. Mwanaume hana deadline ya kutoa mbegu, lkn mwanamke akifikisha 35 mayai yanakoma kutokq. Ukioa mwanamke wa miaka 35 unakuwa umeoa gunia la kukojolea tu.
hahahahaKijana una kiwango gani cha elimu wewe?
Menopause ya mwanamke ni miaka 35!
Kama mzazi kakunyima elimu, basi jitahidi unapojifaragua kuchangia, uulize kwanza ukweli ama uhakika wa jambo ulilochangia kabla haujabonyeza kitufe cha kurushia.
Kwahio ukiwa na 70 mwanao ana miaka 5..,SMHMwanamke mkubwa ana mazuri yake mengi sana kumuoa na kuishi naye lkn kuna changamoto nyingi za kuishi na mtu kama huyo. Kwanza tambua inawezekana kabisa anakukomalia umuoe si kwasababu anakupenda sana bali ni kwa sababu umri unamtupa mkono hivyo yoyote atakayepatikana yy yupo tayari. Kumuoa mtu wa aina hii kuna taabu nyingi sana, ikiwemo kukulazimisha mzae kwa mfululizo bila kufuata uzazi wa mpango kwasababu muda wa kuzaa umemtupa mkono. Mwisho wa siku unakuwa na watoto wamefuatana utazani mapacha na gharama za maisha zilivyo juu kama huna mpunga sijui utafanyeje kusomesha mapacha hao waliopishana miezi. Kwa ujumla kuoa mwanamke mkubwa kuna changamoto ambazo kabla hujamuoa huwezi kuona.
Wanaume tuna advantage kwakuwa hata miaka 65 tunaweza kumpa mke mimba wakati kwa mwanamke jambo hilo ni muujiza mkubwa
Mwanaume mashiiii......hahahha pesa sio ishuu kwa mdada wa 30s anaejishughulisha..40s una nguvu za kiume kweli wewe?.!Kwa sasa nakula wenye miaka 20-28. Hawawez nikimbia hata ningekuwa 60 pesa ninayo na ni handsome nicheck hapo kwenye avatar yangu... Bonge la bazaz... Mi sioi vikongwe...mengi mwenyewe kaoa bint mwenye joto lake...mimi ndo nikaoe mtu yupo jioni.
Hao wanaowazalisha na kuwatelekeza manyumbani ni kuku, bata ama?Ukoo wangu wote wanaolewa mapema tu. 22-26 wameolewa. Nyie kaeni mpaka mnazalia home kwenu halaf mje kututaka sisi kuwaoa.tumeshawashtukia. Sioi kikongwe
Na wewe wa kwako uliula wapi?wacha nionekane mbaguzi,mjinga,mshamba n.k SIOI MIMI MSICHANA WA MIAKA 33. ujana wake kala wapi uzee aje kumalizia kwangu? najua mpo humu na mmechukia na kuona nawaharibia soko. nawaasa vijana msidanganyike kabisa. unataka uoe msichana yupo mida ya jioni? saa 12 saa moja jioni? hapana. nyie tukaneni tu ila huyu dada hakuolewa sababu alikuwa anapenda sana kula bata.anasema alikuwa napenda kutumia ujana sasa umri ndo umefika. hakuwa akitaka kubanwa banwa. so watu walikuwa wanamgonga wanaenda kuoa kwingine. leo hii mimi ndo nichukue moja kwa moja??????????????????????????????????????? aaaahh.. wapi. huo utakuwa unyanyasi mkubwa kwangu. wakati wapo watoto wadogo tu ambao umri wao si haba bado unaita. sishawishiki....