Bila haya Bidada ana miaka 33 anataka nimwoe. Nimemcheck usoni yupo serious kabisa

Mtoa mada hujielewi, unasema mdada ana 33 years, unauliza alikuwa wap haolewi ? Mbona ww una 40+ alafu hujaoa? Na wewe ulikuwa wap ?
 
Halafu ww gujike, nimekuondolea title ya gudume kwa sababu unawaza kike.
Mbn simulizi zako zinafanana sana sura?
Maana kila simulizi yako ni habari ya kutakiwa ama kupendwa na wanawake!
Mwanaume kuwaza hivyo ni kubweteka, mawazo ya kupendwa ama kutakiwa ni mawazo ya kike. Mawazo ya kiume ni ya kupenda na si kupendwa!
Halafu kuwaza kwa kubweteka kuwa unapendwa, utakata miaka yako kizembezembe, na kufikia uzee haujawa na msimamo kwa kudekeza kupendwa!
Wanawake si wa kusosomboa namna hiyo.
Umri, sura ni vigezo mahsusi vilivyowekwa na Mola ili mhitaji achague yeye. Mtu mwingine "anapogonga" size ya mwalimu wake aliyekuwa anamlamba mboko shule, ndiyo anajisikia faraja na pa kulipizia maumivu, huo ni msimamo wake.
Kwamba anataka kimo gani, umri gani, rangi gani nk nk ni chaguo la mtu kwa kipendaroho chake.
Mfano ni rais wa Ufaransa, anayewakilisha wazo kinzani la sera zako hizo.
Halafu kuzaa mapema ama kuchelewa ni mambo ambayo hayana kipaumbele chochote inategemea na mahitaji ya mtu.
Halafu unavyo chambua maumbile na maungo ya wanawake, ninatilia shaka na cvii zako za elimu unayojitanabaisha nayo kuwa unayo.
 
Mtoa mada hujielewi, unasema mdada ana 33 years, unauliza alikuwa wap haolewi ? Mbona ww una 40+ alafu hujaoa? Na wewe ulikuwa wap ?
Usifananishe nazi na jiwe. Mwanaume hana deadline ya kutoa mbegu, lkn mwanamke akifikisha 35 mayai yanakoma kutokq. Ukioa mwanamke wa miaka 35 unakuwa umeoa gunia la kukojolea tu.
 
Usifananishe nazi na jiwe. Mwanaume hana deadline ya kutoa mbegu, lkn mwanamke akifikisha 35 mayai yanakoma kutokq. Ukioa mwanamke wa miaka 35 unakuwa umeoa gunia la kukojolea tu.
Hapa dhahiri jinsia yako ni -me.
 
dah,imetosha sasa acheni hawa mabinti wapumzike.
 
Usifananishe nazi na jiwe. Mwanaume hana deadline ya kutoa mbegu, lkn mwanamke akifikisha 35 mayai yanakoma kutokq. Ukioa mwanamke wa miaka 35 unakuwa umeoa gunia la kukojolea tu.
Kijana una kiwango gani cha elimu wewe?
Menopause ya mwanamke ni miaka 35!
Kama mzazi kakunyima elimu, basi jitahidi unapojifaragua kuchangia, uulize kwanza ukweli ama uhakika wa jambo ulilochangia kabla haujabonyeza kitufe cha kurushia.
 
hahahaha
 
Povuuuuu la mbege[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahhaha dahh...kweli nyani haoni kundule lol
 
Kwahio ukiwa na 70 mwanao ana miaka 5..,SMH
 
Kwa sasa nakula wenye miaka 20-28. Hawawez nikimbia hata ningekuwa 60 pesa ninayo na ni handsome nicheck hapo kwenye avatar yangu... Bonge la bazaz... Mi sioi vikongwe...mengi mwenyewe kaoa bint mwenye joto lake...mimi ndo nikaoe mtu yupo jioni.
Mwanaume mashiiii......hahahha pesa sio ishuu kwa mdada wa 30s anaejishughulisha..40s una nguvu za kiume kweli wewe?.!

Kuna katrend older women wanaolewa na vijana wadogo wakubwa mjipange
 
Ukoo wangu wote wanaolewa mapema tu. 22-26 wameolewa. Nyie kaeni mpaka mnazalia home kwenu halaf mje kututaka sisi kuwaoa.tumeshawashtukia. Sioi kikongwe
Hao wanaowazalisha na kuwatelekeza manyumbani ni kuku, bata ama?

Kinachotakiwa ni wanaume ambao wanajielewa. Na sio vivulana kama wewe at 40 bado unaendelea ku experience sex na kabisa unakubali una akili ya kitoto. Do you think your age automatically points you out as mature?

Anyway, its my bad. Ningeshaona hapo juu unakiri kuwa na akili ya kitoto na mambo ya kitoto basi singejisumbua ku comment.
 
Watu wanaolewa na miaka 50 bwana wewe itakuwa 33 bado mwali kabicha in makonde voice
 
Wewe mwenyewe Mzee miaka 40 unajiona Mdogo?kwl wingi wa miaka siyo wingi wa akili....unamsema mwenzako na kidole kimoja viwili vinne vyote kwako...
 
Gudume naona kama uko so hash...ww mwenyewe mzee...mbona hujaoa mapema??..Na kwa umri wako kama unataka kuoa under 30 ni ubabe tu
 
Na wewe wa kwako uliula wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…