Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Gudime oa. Fanya haraka oa huyo bidada.. Mtafaana sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shaddeya inaonekana wewe umeshaolewa karibu kutafakari vizuri utaona sababu zinazofanya wanawake wachelewe kuolewa.Ndio umri ushakwenda sasa afanyeje, kuolewa ni ndoto ya kila mwanamke hata kama kafikisha zaidi ya 30 akipata wa kumuoa anaolewa.
Wacha kukatisha watu tamaa bana. Pia nikwambie mkuu sio kila mwanamke mwenye umri mkubwa kwamba katumika sana na kwamba hafai kwa ndoa nalikataa hilo gudume.
Hawa wanaochelewa kuolewa hasa 35+ huwa Mara nyingi wanavunja nyumba wanaingia wao, au wanaingia sehemu ambayo imetoka kwenye talaka.Unaoa mwanamke wa 30+ hawa wa 16-24 unamwachia nani? Mbona vijana wenzangu mnapoteza umakini kwa nini? Utafiti wangu binafsi unaonesha kuwa mwanamke ambaye anachelewa kupata uzao wake wa kwanza....anaweza kupata mtoto Mwenye matatizo fulani yaani physical problems, mental problems, psychological problems,and behaviour problems! Nazungumza hivi nikiwa na sample size ya kutosha juu ya utafiti wangu!
NaamHeheheheh...wanawake wana tabu sn dunia ya leo
Ni mazamo sio mbaya!
mhomba mbone povu vepeeeeee