Bila haya huyu dada amenichana nikatamani dunia inimeze

Bila haya huyu dada amenichana nikatamani dunia inimeze

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Tumekaa sehemu moja tunakula mchana, katikati ya jiji kuna vyakula vya kiasili. Alikuja dada mmoja na mwenzie, yeye kavaa sketi fupi sana. Basi akakaa usawa wa mbele yangu, akala akawa amebaki na mwenzie wanapiga stories.

Aliagiza kinywaji kikali bila shaka maana aliletewa kwenye glass kama vile maji but nlihisi si maji sema aliogopa mida hairuhusu kunywa pombe.

Mimi kutizama mbele naona ameachia miguu, vya ndani vinaonekana. Nami nikajikuta natizama tu, yaani hata sielewi what happened nikawa kama zezeta natizama bila hata uangalifu.

Mwenzie nadhani aliona akamwambia akae vizuri unatizamwa. Yule dada akainua macho kunicheki, akainuka kunifuta. Ni dada mbabe sana ningekuwa nami sina afya angeweza nichapa mbata.

"Unaangalia K yangu kama fisi, we hujawahi ona K? Nakuuliza wewe kaka unataka K? Umekodoa mimacho kuchungulia huna hata haya"

Nikainamisha kichwa, akanisogelea, "haya sasa sema, unataka K si ndiyo? Twende ukachukuwe"

Jamaa mmoja ndiyo akaja na kumsihi "Basi Isha, basi yaishe dada yangu, please yaishe isiwe kesi"

Wadau nikawa natembeza tembeza tu macho kama ni mgeni namtafuta mwenyeji. Naona aibu maana yule dada sijui ndiyo ile pombe au bangi, ila nmelipenda ni lidada lizuri lakini libabe.

Basi nikajikuta nashindwa kuinuka maana nawaza maneno yake ya kuwa je nataka papuchi. Nikawaza ningesema ndiyo tu. Niliinuka kama naenda chooni nikalipa kaunta nikapita huko kwa huko na kurudi ofisini. Nimeaibika sana la sijajua kosa langu nini?

Wala sikuchungulia, nimeangalia maana hakuwa ameficha. Kaacha mapaja wazi kule kavaa chupi ya pink kila kitu kipo wazi. Kosa langu nini hapo? Huo ulikuwa uonevu sana.
 
dem alikuelewa akaamua kusaula ujiongeze bt ukawa mpiga chabo, ama kweli mwenye bahati habahatiki
 
Back
Top Bottom