Wee ngoja niweke muda vizuri tuyamalize PM..kazi kazi iendelee.Muraaa!! Uko tayari kwa rikipigoo??
Huku kwetu bana ni ndondi haswa!!
Mateke.ngumi mishale! Mikuki ndo Zetu. tulivo haswaa!! hatutaki kuremba. Kwanza
Hatutawazi Sijui na vimaji vya hiriki bali ni mwendo wa kujitawaza kwa miti majani au kavukavu yanakaukia humohumo!! Sababu
Chakula yetu ya asili ni Mahemba tu! Na mwili wa ng'ombe kichure kwa sana. Tunatoa haja wasafiii!!
Je utaweza muziki huu? Then!
Lazima tukupime kwanza kabla. je? u janaume hasa!
mwanajeshi tosha kulinda familia?? Je Unaweza bhita ni bhita?Siyo mpaka uwe JWTZ no!! hapahapa! Tunakupima kikwetu.
Jiandae km unajiamini nikupe connection uje!! Kwetu Ni hapo tu Kenyamanyori njia ya kueleka kiribho!!
Siyo majaribu ukifanya masihara unaweza usirudi kwenu mzima kisa kuchumbia.kazi kwako....
Achana na mambo ya mura mura..