Bila Hayati Magufuli; Wabunge, madiwani na wenyeviti wa vitongoji leo wasingekuwa kwenye hizo nafasi

Wee ngoja niweke muda vizuri tuyamalize PM..kazi kazi iendelee.

Achana na mambo ya mura mura..
 
Wee ngoja niweke muda vizuri tuyamalize PM..kazi kazi iendelee.

Achana na mambo ya mura mura..
Mura Mura tata ndiyo maongozi ya nchi yanatoka hukoo!! Usithubutu kuyadhaau utakuwa km jiwe. Sasa mie mtu km jiwe wa nini?? Kuachwa mjane nikiwa mdogo??

Mtihani wa kwanza Huu umeshindwa. Ishia hapo hapo mila yyeettuu haichezzeewi na mrisyaa
 
Kifo cha Rais JPM watu wanakiweka kisiasa mno. Yule alikuwa ni binadamu mwenye matatizo ya moyo ya muda mrefu na alishavuka miaka 60 ambayo kwa afrika yetu ni mingi.

Pengine kwa maradhi aliyokuwa nayo na ndani ya miaka aliyokuwa naibu waziri, waziri na rais, aliweza kufanya mengi mazuri kwa taifa hili.

Kifo kinatusubiri sisi wote tunaopumua hivi sasa, hatuwezi kukikwepa.
 
Magu alikuwa shetani aliyelaanika.
 
Hehehe he was an evil man. Let him rot there.
 
Wabunge wa Kagera wote.
Wabunge wa Mara wote
Wabunge wa Songwe wote
 
Mwendazake alikuwa dictator, yafaa mwili wake ufukuliwe utiwe moto adharani
 
Kwako wewe mkuu, kwa wengine wengi alikuwa mwema mpaka wakamtandikia kanga njiani.
Zile kanga ni unafiki wa watanzania Tu...Kama tunavyoona wakilia misibani Kwa watu waliokuwa wabaya kabla ya mauti...unafiki wa watanzania usikudanganye...huyu jiwe watu wameshukuru sana kututoka..
 
Zile kanga ni unafiki wa watanzania Tu...Kama tunavyoona wakilia misibani Kwa watu waliokuwa wabaya kabla ya mauti...unafiki wa watanzania usikudanganye...huyu jiwe watu wameshukuru sana kututoka..
Haiwezekani wanafiki wakawa wengi kiasi kile. Mama zetu siku zote huwa ni nafsi zenye kuongea ukweli. Hulazimiki kukubaliana na JPM haswa namna alivyoongoza nchi lakini kubali tu kuwa aligusa maisha ya wengi.

Na wote waliovunja uzio pale uwanja wa ndege siku ile mwili ulipokwenda Dodoma ni watu wa hali ya chini, hawakufanya vile kinafiki kuna mambo mema ambayo Hayati aliwafanyia ndani ya maisha yao.
 
Wakafa tena watu 45 pale pale. Uthibitisho mwingine magu alikuwa amelaanika.
 
Nikikumbuka yale matokeo ya Kawe kura za urais vs za wabunge mimi hoi. Ukiwa mwizi wa namba uwe na akili kidogo.
 
Mambo mema yapi yaliyo tofauti na watangulizi wake...jiwe aliwazidi wenzake Kwa propaganda..tena propaganda chafu...na watanzania wajinga walio wengi walipumbazwa nazo...
 
Mambo mema yapi yaliyo tofauti na watangulizi wake...jiwe aliwazidi wenzake Kwa propaganda..tena propaganda chafu...na watanzania wajinga walio wengi walipumbazwa nazo...
Mkuu kuunganisha umeme kabla ya hayati ilikuwa tshs 454,000 sasa hivi ni tshs 27,000 kama umeshafikia umri wa kujitegemea utaelewa alichokifanya hayati.

Katengeneza meli za ziwa Victoria ambazo zilikuwa zimekufa kwa miaka mingi tu.

Kafufua shirika la ndege lilikuwa limekufa, watalii na wafanyabiashara wanaelewa nini maana yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…