Mkuu kuunganisha umeme kabla ya hayati ilikuwa tshs 454,000 sasa hivi ni tshs 27,000 kama umeshafikia umri wa kujitegemea utaelewa alichokifanya hayati.
Katengeneza meli za ziwa Victoria ambazo zilikuwa zimekufa kwa miaka mingi tu.
Kafufua shirika la ndege lilikuwa limekufa, watalii na wafanyabiashara wanaelewa nini maana yake.