Habari zenu wnanajamiii. Nimekuwa nikifikiri sana hivi kwanini dini zote zinatumia hofu kuhakisha uwepo wake?
Yaani ni hivi watu wanao amini kuwa Mungu yupo hawafanyi hivyo kwasababu wanapenda au wamechaguwa kuamini hivyo.
Wengi kama sio wote bila kujari dini zao wanaamini Mungu kwasababu wanaogopa kuwa bila Mungu hawawezi kuwa salama pia wakifa watateswa katika ziwa la moto. Ila ukiwauliza hilo ziwq la moto liko wapi? Au huyo Mungu kwanini amuwe kutesa watu kuliko hata shetani mwenyewe? Ikiwa Mungu anatesa watu kwenye ziwa la moto basi huyo Mungu ana roho mbaya kuliko shetani.