Bila huruma ya CCM hakuna mpinzani atakayeingia Bungeni

Hakuna mwana ccm atakayeingia bungeni isipokuwa huruma ya wapinzani kuogopa kuleta maafa, ukweli upo wazi ccm wanaiba kura.
 
Ndugu zangu watanzania,

Kwa Sasa watanzania hawana Imani kabisa na upinzani na wapinzani,hawawaamini wapinzani kwa kuwa wameona ni watu waliokosa msimamo, vigeu geu...
Baada ya kuchoshwa na zile heading zako “mama samia hana mpinzani nchi nzima”, akili imekurudi japo imekurudi huku mamayenu akipokea makamu wa rais wa mashoga pale ikulu.
 
Dah maelezo yanaonyesha mambo makuu mawili
1 wewe hujui siasa za nchi hii
2 na kama unajua basi umewadharau watz kwa kauli zako tata
Hakuna mtu anaetaka huruma ya ccm ili awe mbunge ndio maana tume huru inahitajika
Lakini pia KATIBA mpya inahitajika sana ili kuzuia ufisadi ndani ya ccm
Hata leo hakuna mbunge yeyote wa ccm anaejali wapiga kura wake wote wanajali matumbo yao miradi yote insimamiwa na rais na bado wanamkwapua
 
Unachofanya kwenye nyuzi zako ni kuwatukana au kuwatukanisha watanzania!! Kuwa mwangalifu!
Watanzania wameridhishwa na utendaji kazi wa CCm ,wamechoshwa na mimatusi ya kina Lema na chadema,hawana mpango Tena na upinzani
 
Tume ya uchaguzi siyo inayochagua Wala kupiga Kura,kazi ya time Ni kusimamia uchaguzi na kuwatangaza washindi baada ya kuhesabu kura na hizo kura zinapigwa na watanzania na hupigia chama na mtu anayekubalika na mwenye Sera na ajenda zinazogusa maisha yao.

Kwa Tanzania yetu hata ije tume kutoka marekani bado CCM itashinda kwa kishindo,kutokana na Sera na ajenda ambazo huzibeba katika kila uchaguzi ,kuwa na ilani yenye kwenda na wakati na yenye kugusa Mahitaji ya watu,wakati upinzani Ni kichekesho tu,hawana hata uwezo wa kuwaandaa mgombea Wala ilani,wao mgombea ndio ilani Yao na Sera Yao,ndio maana mgombea wao unakuta akipanda jukwaani anaropoka chochote kinachokuja katika mdomo wake na jinsi alivyo amka kwa siku husika kichwani,ndio maana watanzania wanaendelea kuwapuuza wapinzani wa nchi hii

Ndio maana hata lissu alipowaambia watanzania waandamane walimkatalia na kumpuuza yeye na chadema yake Hadi akaamua kuondoka nchini
 
Imbecile !

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Sikujua huyu Mwashambwa ni mpuuzi kiasi hiki, vipi utaratibu wa kila mtu auuze sera zake kwa kufuata sheria bila kuingiliwa halafu wananchi wakaamua wenyewe, haya mambo ya kutetea chama kwa damu ni zaidi ya ushamba na ujinga
 
Wanaokitetea chama kwa jasho machozi na Damu Ni wanachama na wakereketwa wa chama husika, Au unafikiri kujenga chama ni kazi nyepesi? Hujuwi kuna watu huwa wanapata ajali na kupata majeraha wakiwa katika ujenzi na uimarishaji wa chama? Hujasikia wengine Hadi wanafariki wakiwa njiani kuelekea kwenye kampeni au kuimarisha chama au ziara za chama? Unafikiri huwa wakipata majeraha wanatoa maji? Au maziwa? Au asali?
 
Nchi hii ina watu wapumbavu wa viwango vya juu kabisa yaani fuvu lako unatunzia kamasi tu na haya ni matatizo ya kuzaliwa vichakani akili unaziacha hukohuko engazaliwa hospitari usingeleta ujinga wako huu na kuacha namba zako hapa.
 
Leta hoja ndugu yangu acha hasira ,bila Shaka ukweli wangu umekuchoma Kama mkuki ubavuni,Tuliza akili na kubali kuwa upinzani umekata pumzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…