Bila huu utamaduni basi ni wazi mdogo wangu angefika miaka 25 hajawahi kulala na mwanamke, nguvu ya ziada ilibidi niitumie kumuokoa

Unaenda kumuua dogo na ngoma yaani atakulaumu mpaka anakufa
 
Mimi ni kijana nina 31, nina mdogo wangu mtoto wa mjomba huwa anakuja mara kwa mara nyumbani kwangu maana yupo chuo cha karibu na mimi ndie mwenyej wake.

tel nikamwingiza kwenye gari nikamwambia leo huna pa kwenda, mda huo nimemwacha binti lodge.
itaendelea >>
Unatak kufanya ujinga, kwani hicho ni chakula asipokul atakufa!??

Mimi binafsi nilianza nikiwa na miaka 26, usisababishe mtu kutenda dhambi ya uzinzi na huwezi jua afya ya huyo binti, isitoshe yupo vzr ghafra binti ananasa mimba utailea wewe!!?

Acha huo ujinga mkuu, yeye kama yupo compatible ipo siku ataamua yeye mwenyw huenda anataka mpaka aje aoe ndo afanye mapnz huon utakua unamiharibia malengo na nadhir yake kwa Mungu.!!??
 
Nimejikuta nacheka,,hafanyi mpaka ndoa
 
Aiseee kumbe nilianza umalaya mapema Yan had umri huo Bado mtu hajamjua mwanamke tu!? Ongera zake ila huko unakota kumuingiza angalia sana
 
Ongeza Kashata......
JamiiForums-762975387.jpg
 
Mbona unatafuta dhambi za bure???

Acha mtu atafute na kuchuma dhambi kwa wakati wake
 
Back
Top Bottom