Bila huu utamaduni basi ni wazi mdogo wangu angefika miaka 25 hajawahi kulala na mwanamke, nguvu ya ziada ilibidi niitumie kumuokoa

Usimsababishie mtu kufanya dhambi, muombe sana Mungu wako radhi
 
Unaenda kumuua dogo na ngoma yaani atakulaumu mpaka anakufa
 
CHAI NYEPESIII HAINA HATA VIUNGO.
 
Unatak kufanya ujinga, kwani hicho ni chakula asipokul atakufa!??

Mimi binafsi nilianza nikiwa na miaka 26, usisababishe mtu kutenda dhambi ya uzinzi na huwezi jua afya ya huyo binti, isitoshe yupo vzr ghafra binti ananasa mimba utailea wewe!!?

Acha huo ujinga mkuu, yeye kama yupo compatible ipo siku ataamua yeye mwenyw huenda anataka mpaka aje aoe ndo afanye mapnz huon utakua unamiharibia malengo na nadhir yake kwa Mungu.!!??
 
Nimejikuta nacheka,,hafanyi mpaka ndoa
 
Aiseee kumbe nilianza umalaya mapema Yan had umri huo Bado mtu hajamjua mwanamke tu!? Ongera zake ila huko unakota kumuingiza angalia sana
 
Mbona unatafuta dhambi za bure???

Acha mtu atafute na kuchuma dhambi kwa wakati wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…