Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Ukweli ni kwamba. hakuna watu waoga kuingia vitani kama wamerakani hasa wakigundua una sila za hatari yaani zile zinazoitwa silaha za maangamizi. Hivyo, ili Iran ilinde heshima yake na ili Israeli ikome kutegemea ubabe wa Marekani, ni shariti ifanye maamuzi magumu sana ya kutumia silaha kali dhidi ya Israeli na kwa gharama yoyote ikiwezekana hata bomu la nyuklia.
Pia, ni lazima Russia nayo iwe teyari kumuunga mkono Iran kwa gharama yoyote na Iran na Russia wawe tayari kutembeza kichapo kwa nchi za kiarabu zinazoshirikiana na Israeli kama vile Saud Arabia na Jordan.
Ni lazima vita kali ipiganwe katika hilo eneo kabla ya kupotikana kwa amani na mataifa hayo kuishi kwa kuheshimiana. Vita ya kulipiza kisasi na kutulia, haiwezi kuleta suluhu ya kuduma katika mashariki ya kati. Ni lazima damu imwagike ndio watu wataona umuhimu wa kukaa mezani na kutafuta suluhu huku kila mmoja akimuheshimu mwenzake.
Pia, Russia na Irani, ni shariti wawapuuze Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwakuwa hao wote hawana nguvu mbele ya US na ni taasisi vibaraka tu wa Marekani wataopiga kelele pale tu Marekani na washirika wake wanapokuwa hatarini.
Israeli kwa sasa kaota mapembe na kajawa na kiburi kwasababu response ya nchi anazozishambulia, imekuwa ni dhaifu isiyolingana na hujuma Israeli anazofanya kama kushambulia ndani ya ardhi ya Taifa lingine. Hii ni dharau kubwa sana kwa sovereignty ya nchi nyingine.
Maamuzi magumu yataeleta matokeo mabaya, lakini yataleta kuheshimiana, kuheshimiana kutakoleta amani katika eneo lote la Mashariki ya Kati.
Mashambuli ya kushitukiza na ya kulipizana visasi yanaweza kudumu mpaka mwisho wa hi duni. Hivyo hayawezi kuleta suluhu. Lazima Israeli ionje machungu kabla ya kuheshimu wengine na kuacha kunyanyasa Wapelestina wasio na Jeshi bali vikundi tu visivyo na uwezo wa kukabiliana na Jeshi la Israeli kwa asimia 100 bali kwa kufanya tu mashambulizi ya kuvizia na kuua au kujeruhi askari wachache wa kiyahudi au raia wa Israeli(maumivi haya-balance).
Mimi bi mkristo, lakini kamwe siwezi support uharamia wa Israel na Marekani popote duniani.