Bila Iran na Russia kufanya maamuzi magumu, Marekani na Israeli wataendelea kuwanyanyasa sana

Mkuu unachambua kama ww ulishawai pga kumbe ujawi so jamaz ujui vta mkuu vta syo habar ya kuandka Russia uyu uyu kashndwa kuingia mji mkuu wa ukreni mpaka kaenda korea kusin kuomba silaa na bado kashndwa kuishambulia kyv sasa hapo anatamuongezea nn Iran
 
WWW3 loarding na maandalizi yameshakamilika wengine mmebaki na ushabiki maandazi yaani waafrika bwana! Mnashangaza sana
Hiyo www angeanzisha Russia kwa swala la Ukraine maana alishaapa yeyote atakamsaidia Ukraine analianzisha but mpaka sasa ni maneno matupu,kwa hiyo usitegemee kupigwa Iran ndio kutasababisha Vita.
 
Kama kweli wewe ni mkristo, basi umejaa unafiki na huna kweli ndani yako

Unaposema Israel anaonea Palestine unakuwa unamaanisha nini?

Kwani chanzo cha Israel kupiga Gaza ni nini haswa?

Binafsi sipendi uonevu, lakini kwa nini Israel achokozwe?

Watu waliotekwa na Magaidi ya Gaza, ulitaka Israel aende gaza kwa kuwaomba watu wake huku anaimba salam maria umejaa neema?

Israel alikuwa akipigana na Gaza, hao wanamgambo wa Yemeni kimewauma nini hadi nao waishambulie ISRAEL?

Hao wanamgambo wa Lebanon nao, Israel kuwachokoza?

Mbona myahudi mnamwonea kaka
 
Bwana Salary slip.

Imagine wewe Ndio Ayatollah una alika Mgeni wa Heshima kabisa ndani ya Nchi yako, kwenye Mji mkuu kwenye Sherehe ya kuapisha Rais wa nchi,

Makazi, Chakula, Ulinzi Hadi sehemu ya kulala unaindaa wewe, Lakini anauwawa ndani ya chumba ulichomuandalia ulichokuwa unakilinda na Jengo zima linalipuka chumba kimoja tu.

Kwenye Hali kama hii utakurupuka kumvamia Adui yako unayemjua?, wakati, adui yako usiyemjua unalala nae unakula nae unaishi nae kila siku
 
Iran hataki kabisa mambo ya vita...anawazuga tu masheikh
 
Hiyo sasa itakuwa Vita vya Tatu vya dunia,kitu ambacho dunia haiko tayari kushuhudia!
Suluhu ni Meza ya Mazungumzo!
Zile mbili zilizopita dunia ilikuwa imejitayarisha vipi?.
 
Wewe ngoja Ayatollah mwenyewe aje aliwe kichwa ndio utapotea humu kama jihadists wengine walivyopoteana humu.

Dunia inaenda kulingana na settings alizojiwekea mwenyezi Mungu mwenyewe na hakuna anayeweza kubadili ndio maana waga nacheka kusikia dikteta Putin anavyotishia watu nyuklia utafikiri yeye ndiye aliyeumba hii dunia.
 
Labda kama wewe ndio Mungu.
 
Una uhakika hizo tu ndio silaha walizonazo?Hofu inatoka wapi sasa?
πŸ˜„ unajua unaweza sema sometimes vitu huelewi si,, mashabiki maandazi wote wa Urusi hua mnadhani US anaogopa hizo niclear, the man alicreate atomic bombs kqrbe ya 18 huko hawa watoto wa juzi vp,, fatilia kwanza what happened in Japan ktk 2WW kilimponza hichohicho ni vema waendelee vizia na si kuanzisha vita ya moja kwa moja watateseka zaidi ya mgonjwa wa ukoma hvo vita US hataki sababu ni vya madhara makubwa na ashashuhudia hilo, na hii mambo ya ww ni mkristo au basi πŸ˜„πŸ˜„πŸ€£ Russia si muslims pia
 
Mkuu upo sawa kabisa, unaona mbali sana na hiyo siku ipo tu watakapo tiwa adabu, naamini mkuki kwa ngurue.
 
Unasema "hvo vita US hataki sababu ni vya madhara makubwa" Ila yeye kudhuru wasio na hatia ni sawa, kipi bora, ukoma au kunyanayaswa' pimeni mambo kwa mezani.
 
Soma historia wewe kwani dunia imeamka Otober 7? kwa hiyo unafiki wa mkristo ni kutetea haki ya bianaadamu.
 
Unasema "hvo vita US hataki sababu ni vya madhara makubwa" Ila yeye kudhuru wasio na hatia ni sawa, kipi bora, ukoma au kunyanayaswa' pimeni mambo kwa mezani.
Nani ananyanyaswa magaidi watupu wale mbna hakuna anaenyanyaswa
 
We nae malaya tu jifikirie kuongea nyie ndo mnawashwa na didy sasa umeandika nn
Soma historia wewe kwani dunia imeamka Otober 7? kwa hiyo unafiki wa mkristo ni kutetea haki ya bianaadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…