Bila Iran na Russia kufanya maamuzi magumu, Marekani na Israeli wataendelea kuwanyanyasa sana

Acheni ugaidi, uzuri Rusia tayari ameshaanza joto la ugaidi nchini kwake, anajua madhara ya hao wapuuzi,
 
Ukraine inapigwa na kuharibiwa na hakuna anayetia mguu kumtetea kwa sababu ya kuhofia matokeo yasiyotarajiwa toka kwa Russia.

Mataifa hayana urafiki kama unaojua wewe, urafiki wao ni wa kimaslahi tu. Nchi zote zilizoendelea kijeshi zinaogopana. Ukraine ingekuwa inapigwa na nchi dhaifu ungeona nchi za magharibi zinajiingiza kwenye mzozo na kuanzisha vita. Ila Ukraine inapigwa na Russia wameufyata. Soma link hapo chini.

 
Wapalestina ni jamii hatari sana, walikaribishwa Lebanon wakaharibu nchi ya Lebanon ndoa zao la hezibolaha, walikaribishwa Jodan wakataka kupindua serikali ya Jodan, walikaribishwa Egypt wakaanzisha muslem brother hood, kwa sasa nchi nyingi za kiarabu zinawaogopa kuwachukua, walioko huko USA kila siku ni maandamano, Israel ikipigwa anashangiliwa Israel kujitetea unapiga kelele, mbona kuna jamii za kiarabu hasa jamii ya druze mbona wanaishi vizuri na Israel? Wengi wako kwe jeshi la Israel na maisha yanaendelea, Pia Iran anatafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…