MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Huu ndio uongo wa karneKwa hyo Kwa akili zako ukishazikwa ndo basi?
Kama unaamini kufa kupo kwanini usiamini Kuna KUFUFULIWA?
Hizo process anazifanya nani.Kwa hiyo swali lako linaulizwa mfumo wa uzazi ulipotokea?
Au hujui processza zygote kutokea?
Hapa inaonyesha jinsi ulivyo maamuma wa elimu sahihi!
Na sio binadamu tu, hata viumbe VINGINE asivyo viumba huyo muumbaji wenu wa mchongo Bado mchakato ni huo huo.
Kwanini unaamini KUFA?Huu ndio uongo wa karne
Ukifa umekufa
Niambie nani alifufuka, kwa miaka bilioni3.5 ya hii dunia
Hivi kiukweli ulianza baada ya Muhammad au Kabla ya Muhammad?😃😃😃.mtume wetu hakujua kusoma Wala kuandika.alafu mbaya zaidi Quran imeshushwa Kwa lugha ya kiarabu.ikiwa na aya za kutosha.muhammad angeweza vipi kukopi?na kujua mambo ya mtoni na peponi?
Kwa hiyo wewe utapaa?Kwanini unaamini KUFA?
Mimi siamini kama Kuna KUFA nakushangaa
Uislamu ulianza kabla ya muhammad.tofauti ilikuwa mitume tu.ila kila mtume alikuja kuhuburi Mungu mmoja.ambayo ndio itikadi ya Mungu wa kweli.Hivi kiukweli ulianza baada ya Muhammad au Kabla ya Muhammad?
Sasa mtu anakufaje?Mimi siamini kama Kuna KUFA.Kwa hiyo wewe utapaa?
Hivi hili nalo ni swali la kuamini, au tunajua hakika utakufa?
Tofautisha Imani na kujua
Wewe ***** mgongo wako uko wazi halafu unataka kwenda peponi kupaka mavi kirahisirahisi hivyoKurwani imetamka wazi waislam wote lazima waende jehanam(hell) kwanza wakapate mateso ndio ama waende peponi au wabaki hapo jehanam kuendelea kula msoto.
Kwa mujibu wa Quran (Surat Maryam) Aya ya 71 hadi 72.
Ndio mana waislamu wanatakiwa wasugue mapaji ya uso ili kutengeneza sigida ili iwasadie kumulika giza la akhera yani sigda ni tochi ukiwa akhera.
Kwani hakuna pepo bila kupita jehanam.
Hauoni makabuli au unajua matuta ya vizazi yale?Sasa mtu anakufaje?Mimi siamini kama Kuna KUFA.
Ila naamini KUFUFULIWA.
Nakushangaa wewe unaamini kufa kwani ulishawahi KUFA?mpaka uamini kufa?
Nithibitishie kuwa Kuna KUFA
Hivi unaweza kuniambia hayo majina ya Adam na Hawa yanapatikana katika Surah na mstari upi wa Quran tukufu?alikuwepo ALLAH muumba mbingu na ardhi na aliyemuumba Adam na hawa.akaumba na malaika.miongoni mwa malaika hao ni jibril aliyekuwa ana mshushia aya mitume kutoka Kwa ALLAH MWENYEWE.DIRECT.
QURAN INA NJIA TATU ZA KUFIKA.
1.INATOKA KWA ALLAH MWENYEWE.
2INAKWENDA KWA MALAIKA JIBRIL
3.ANAPELEKEWA MTUME MUHAMMAD.alafu anawasomea watu.
Aya injili zimetoka wapi?
Niambie kabla ya Muhammad,Uislamu ulianza kabla ya muhammad.tofauti ilikuwa mitume tu.ila kila mtume alikuja kuhuburi Mungu mmoja.ambayo ndio itikadi ya Mungu wa kweli.
Ndo maana uislam unaikubali mitume yote hata wale wayahudi na mataifa mengine
Lete ushahidi usio na shaka.Hizo process anazifanya nani.
Wakati mungu ndo alimuumba Adam na hawa ndo wakazaliana tukatoka sisi .
Kiumbe chochote chenye uhai mfumo wake wa uzazi umetengenezwa na MUNGU.kujamiiana ni NJIA tu.ila yupo aliyetengeneza huo mfumo
alikuwepo ALLAH muumba mbingu na ardhi na aliyemuumba Adam na hawa.akaumba na malaika.miongoni mwa malaika hao ni jibril aliyekuwa ana mshushia aya mitume kutoka Kwa ALLAH MWENYEWE.DIRECT.
QURAN INA NJIA TATU ZA KUFIKA.
1.INATOKA KWA ALLAH MWENYEWE.
2INAKWENDA KWA MALAIKA JIBRIL
3.ANAPELEKEWA MTUME MUHAMMAD.alafu anawasomea watu.
Aya injili zimetoka wapi?
Uislamu ulianza kabla ya muhammad.tofauti ilikuwa mitume tu.ila kila mtume alikuja kuhuburi Mungu mmoja.ambayo ndio itikadi ya Mungu wa kweli.
Ndo maana uislam unaikubali mitume yote hata wale wayahudi na mataifa mengine
Kurwani imetamka wazi waislam wote lazima waende jehanam(hell) kwanza wakapate mateso ndio ama waende peponi au wabaki hapo jehanam kuendelea kula msoto.
Kwa mujibu wa Quran (Surat Maryam) Aya ya 71 hadi 72.
Ndio mana waislamu wanatakiwa wasugue mapaji ya uso ili kutengeneza sigida ili iwasadie kumulika giza la akhera yani sigda ni tochi ukiwa akhera.
Kwani hakuna pepo bila kupita jehanam.
Umechanganya “kupita juu ya Jahannam” na “kuingia na kuteswa ndani yake.” Qur’an 19:71 inasema “hakuna yeyote miongoni mwenu isipokuwa atafika/atapita hapo,” kisha 19:72 inasema: “Kisha tutawaokoa wale waliomcha Mungu.” Tafsiri za Kiislamu zinaeleza kuwa waumini wanapita juu ya Jahannam kupitia Sirāt, si kwamba wote lazima waingie humo kuteswa.Kurwani imetamka wazi waislam wote lazima waende jehanam(hell) kwanza wakapate mateso ndio ama waende peponi au wabaki hapo jehanam kuendelea kula msoto.
Kwa mujibu wa Quran (Surat Maryam) Aya ya 71 hadi 72.
Ndio mana waislamu wanatakiwa wasugue mapaji ya uso ili kutengeneza sigida ili iwasadie kumulika giza la akhera yani sigda ni tochi ukiwa akhera.
Kwani hakuna pepo bila kupita jehanam.
Kurwani imetamka wazi waislam wote lazima waende jehanam(hell) kwanza wakapate mateso ndio ama waende peponi au wabaki hapo jehanam kuendelea kula msoto.
Kwa mujibu wa Quran (Surat Maryam) Aya ya 71 hadi 72.
Ndio mana waislamu wanatakiwa wasugue mapaji ya uso ili kutengeneza sigida ili iwasadie kumulika giza la akhera yani sigda ni tochi ukiwa akhera.
Kwani hakuna pepo bila kupita jehanam.
Ndio maana mimi kuanzia leo nimeamua kuanza kwenda Kanisani na nimeanza mafundisho ili niweze kubatizwa.Mtu unawezaje kuwa Muislam bila kusema shahada?.
Mitume yote kabla ya mohamed haikuwah kufuata hata nguzo moja katika zile 5 za kiislamu.
Imekuwaje wawe waislamu.
Kobaz mnapenda kujiamulia tu mambo. Na kujinasibu na mitume isiyowahusu.