Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
si umeona ?Inasikitisha, ngoja tuone...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si umeona ?Inasikitisha, ngoja tuone...
Mungu ibariki JFNaam naam
Nakazia kwenye hoja yako kiongozi.....Kagere anaonekana bora kutokana na ubora wa washambuliaji waliopo.....Si kweli kabisa.
Hata Kagere ana matatizo makubwa kuliko Mugalu.Usidhani ni rahisi kutengeneza nafasi tu na kufunga.Unahitaji wachezaji wenye fighting spirit,wanaojielewa.
hivi Mugalu ndio wa kumweka benchi Kagere ?
Bado sijajua sababu ya benchi la ufundi la Simba kutosajili mshambuliaji mbadala wa hayo magalasa msimu huu.......Simba imeshakuwa kambi ya wazee....
Kwamba Mugalu anamzidi Kagere?Ama kweli common sense is not common.Mugalu will always be my favorite striker Bocco na Kagere ndio wapishane
Dirisha dogo..Bado sijajua sababu ya benchi la ufundi la Simba kutosajili mshambuliaji mbadala wa hayo magalasa msimu huu.......Simba imeshakuwa kambi ya wazee....
Exactly common sense is not commonKwamba Mugalu anamzidi Kagere?Ama kweli common sense is not common.
[emoji38][emoji38][emoji38]Kwa hiyo bila Kagere tunakuwa hivi [emoji116]
View attachment 1959894