Bila Kagere ushambuliaji wa Simba ni bure

Mpira wa bongo kila mtu kocha shangaa timu ya Taifa kila kukicha inaangukia pua
 
Si kweli kabisa.
Hata Kagere ana matatizo makubwa kuliko Mugalu.Usidhani ni rahisi kutengeneza nafasi tu na kufunga.Unahitaji wachezaji wenye fighting spirit,wanaojielewa.
Nakazia kwenye hoja yako kiongozi.....Kagere anaonekana bora kutokana na ubora wa washambuliaji waliopo.....
 
Bado sijajua sababu ya benchi la ufundi la Simba kutosajili mshambuliaji mbadala wa hayo magalasa msimu huu.......Simba imeshakuwa kambi ya wazee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…