Bila kamati kutoboa utachelewa

Bila kamati kutoboa utachelewa

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
Screenshot_20250130-090356.jpg


๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Mshana Jr nipe namba nikuunge kwenye kikao cha dharura kuna shida sehemu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Na unaambiwa hakuna mwana jf ambaye hana connection ya mganga mkali...๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

ukiambiwa namwachia Mungu, shtuka unakufa๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Naona umewa HOLD ON hao manguli wengine ili uwatete kidogo๐Ÿ˜
 
Mimi na mambo hayo ni vitu viwili tofauti.

Naamini uchawi upo, ila siamini katika uchawi(yaani bila uchawi jambo langu haliendi, siamini hivyo)
Mie ni muumini katika qadar za allah..
Naamini katika mungu.
mungu wa small letter huyo ana mashaka ndani yake..

nakuunga
 
mungu wa small letter huyo ana mashaka ndani yake..

nakuunga
Kwangu, mungu, Mungu ama MUNGU wote ni sawa, naweza andika MUNGU halafu asiwe na uzito huo moyoni.
Mimi naamini mungu anajua zaidi kilichopo moyoni mwangu, kama namuamini kweli ama uongo, hivyo kuandika mungu na MUNGU kwake hakuna utofauti.
 
Back
Top Bottom