Bila kamati kutoboa utachelewa

Na unaambiwa hakuna mwana jf ambaye hana connection ya mganga mkali...😭😭😭

ukiambiwa namwachia Mungu, shtuka unakufaπŸ˜…πŸ˜…
 
Mh! mkuu ulifanya dhambi gani mpk uweke hiyo kamati..?
 
😁😁😁
Naona umewa HOLD ON hao manguli wengine ili uwatete kidogo😁
 
Mimi na mambo hayo ni vitu viwili tofauti.

Naamini uchawi upo, ila siamini katika uchawi(yaani bila uchawi jambo langu haliendi, siamini hivyo)
Mie ni muumini katika qadar za allah..
Naamini katika mungu.
mungu wa small letter huyo ana mashaka ndani yake..

nakuunga
 
mungu wa small letter huyo ana mashaka ndani yake..

nakuunga
Kwangu, mungu, Mungu ama MUNGU wote ni sawa, naweza andika MUNGU halafu asiwe na uzito huo moyoni.
Mimi naamini mungu anajua zaidi kilichopo moyoni mwangu, kama namuamini kweli ama uongo, hivyo kuandika mungu na MUNGU kwake hakuna utofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…