Bila kificho wanawake ni nguzo ya ukombozi wa taifa hili

Bila kificho wanawake ni nguzo ya ukombozi wa taifa hili

kagoshima

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
3,528
Reaction score
6,856
Wakiongozwa na Mange , Tausi likokola,.Maria nk

. Huko twitter x , insta, Facebook, ticktock wanawake wanaongoz kuhamasisa mabadiliko ya hali ya siasa inchini Tanzania.

Hili halijutegemewa lakini ndivyo ililvyo.

Wanaume wengi wamegeuka machawa wamejivisha upofu na ukiziwi.
 
Hawajielewi hao,kuhamasisha fujo na vurugu ndio kuhamasisha mabadiliko ya kisiasa
 
Ila Kuna mmoja muuaji amekaa ikulu, hii vita SI ya wanawake Wala wanaume ni ya kuikomboa Tanganyika
 
Rachel Dangwa,
Huyu kusikiliza video zake inabidi uvae headphone na uwe na watu wa rika moja au mliozoeana ila Tunathamini mchango wake
 
Wakiongozwa na Mange , Tausi likokola,.Maria nk

. Huko twitter x , insta, Facebook, ticktock wanawake wanaongoz kuhamasisa mabadiliko ya hali ya siasa inchini Tanzania.

Hili halijutegemewa lakini ndivyo ililvyo.

Wanaume wengi wamegeuka machawa wamejivisha upofu na ukiziwi.
Lakini kusaliti ni dakika 0 tu..rejea ant lulu. Deborah mtetezi. Farma karune.niffer na wengine wengi but not men
 
Back
Top Bottom