He,unadhani sababu ni huo uanamke?
Wanawake hawajawahi kupendana...He,unadhani sababu ni huo uanamke?
Lakini kusaliti ni dakika 0 tu..rejea ant lulu. Deborah mtetezi. Farma karune.niffer na wengine wengi but not menWakiongozwa na Mange , Tausi likokola,.Maria nk
. Huko twitter x , insta, Facebook, ticktock wanawake wanaongoz kuhamasisa mabadiliko ya hali ya siasa inchini Tanzania.
Hili halijutegemewa lakini ndivyo ililvyo.
Wanaume wengi wamegeuka machawa wamejivisha upofu na ukiziwi.