Bila kodi, mikopo wala tozo Serikali kutekeleza miradi ya Tsh 25T

Mwananchi Huru

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2021
Posts
2,128
Reaction score
1,896
IMG-20241115-WA0016.jpg

IMG-20241112-WA0156.jpg

Kuna mambo kwa kiburi chetu Cha uzima tunaweza kubishana lakini si-utendaji kazi wa Rais Samia Suluhu Hassan,

Nani asiyejua hii PPP ilianza tangu enzi na enzi lakini chini ya mama huyu matokeo ni haya na tutarajie mengine mengi.

Binafsi niko tayari kupigana na kumpigania Rais Samia Suluhu Kwakuwa faida yake kwenye nchi hii inaonekana​
===
Tanzania is mobilising at least $9 billion (about Sh25 trillion) in private capital to kickstart mega projects under the Public-Private Partnership (PPP) framework, according to the PPP Centre (PPPC).

Speaking at a seminar for the Parliamentary Standing Committee on Regional Administration and Local Government in Dar es Salaam yesterday, PPPC executive director David Kafulila highlighted the progress and significance of PPP in driving Tanzania’s infrastructure and development goals.

Currently, Tanzania is implementing over 84 projects through PPP, spanning infrastructure, hydropower, and other development sectors.

“The projects under PPPC are at various stages—agreement, feasibility studies, evaluation, procurement, and concept development,” Mr Kafulila explained.

“Key projects, such as the $340 million Kibaha-Chalinze road and the $1 billion construction of ring roads, are progressing well.”

Since the PPPC’s intensified focus on PPP projects in April, the Dar es Salaam Development Corporation (DDC) has been the primary project underway.

This project includes constructing a modern commercial complex in Kariakoo, one of Dar es Salaam’s busiest commercial districts.

The DDC building is envisioned as a multifunctional hub aimed at enhancing Kariakoo’s business appeal and attracting further investment. The project is expected to cost $37m.

Mr Kafulila emphasised that adherence to legal frameworks by all PPP stakeholders is essential for the long-term sustainability of these projects.

Additionally, he noted that the Tanzania Railways Corporation (TRC) is conducting feasibility studies to establish a new railway line connecting Kariakoo with Mlimani City and Tegeta, underscoring the government’s commitment to expanding urban transport infrastructure.

#TheCitizenUpdates
 
View attachment 3154692
View attachment 3154691
Tanzania is mobilising at least $9 billion (about Sh25 trillion) in private capital to kickstart mega projects under the Public-Private Partnership (PPP) framework, according to the PPP Centre (PPPC).

Speaking at a seminar for the Parliamentary Standing Committee on Regional Administration and Local Government in Dar es Salaam yesterday, PPPC executive director David Kafulila highlighted the progress and significance of PPP in driving Tanzania’s infrastructure and development goals.

Currently, Tanzania is implementing over 84 projects through PPP, spanning infrastructure, hydropower, and other development sectors.

“The projects under PPPC are at various stages—agreement, feasibility studies, evaluation, procurement, and concept development,” Mr Kafulila explained.

“Key projects, such as the $340 million Kibaha-Chalinze road and the $1 billion construction of ring roads, are progressing well.”

Since the PPPC’s intensified focus on PPP projects in April, the Dar es Salaam Development Corporation (DDC) has been the primary project underway.

This project includes constructing a modern commercial complex in Kariakoo, one of Dar es Salaam’s busiest commercial districts.

The DDC building is envisioned as a multifunctional hub aimed at enhancing Kariakoo’s business appeal and attracting further investment. The project is expected to cost $37 billion.

Mr Kafulila emphasised that adherence to legal frameworks by all PPP stakeholders is essential for the long-term sustainability of these projec
Additionally, he noted that the Tanzania Railways Corporation (TRC) is conducting feasibility studies to establish a new railway line connecting Kariakoo with Mlimani City and Tegeta, underscoring the government’s commitment to expanding urban transport infrastructure.

#TheCitizenUpdates
Samia hakamatiki apewe mitano tena mitano
 
View attachment 3154692
View attachment 3154691

Kuna mambo kwa kiburi chetu Cha uzima tunaweza kubishana lakini si-utendaji kazi wa Rais Samia Suluhu Hassan,

Nani asiyejua hii PPP ilianza tangu enzi na enzi lakini chini ya mama huyu matokeo ni haya na tutarajie mengine mengi.

Binafsi niko tayari kupigana na kumpigania Rais Samia Suluhu Kwakuwa faida yake inaonekana​
===
Tanzania is mobilising at least $9 billion (about Sh25 trillion) in private capital to kickstart mega projects under the Public-Private Partnership (PPP) framework, according to the PPP Centre (PPPC).

Speaking at a seminar for the Parliamentary Standing Committee on Regional Administration and Local Government in Dar es Salaam yesterday, PPPC executive director David Kafulila highlighted the progress and significance of PPP in driving Tanzania’s infrastructure and development goals.

Currently, Tanzania is implementing over 84 projects through PPP, spanning infrastructure, hydropower, and other development sectors.

“The projects under PPPC are at various stages—agreement, feasibility studies, evaluation, procurement, and concept development,” Mr Kafulila explained.

“Key projects, such as the $340 million Kibaha-Chalinze road and the $1 billion construction of ring roads, are progressing well.”

Since the PPPC’s intensified focus on PPP projects in April, the Dar es Salaam Development Corporation (DDC) has been the primary project underway.

This project includes constructing a modern commercial complex in Kariakoo, one of Dar es Salaam’s busiest commercial districts.

The DDC building is envisioned as a multifunctional hub aimed at enhancing Kariakoo’s business appeal and attracting further investment. The project is expected to cost $37 billion.

Mr Kafulila emphasised that adherence to legal frameworks by all PPP stakeholders is essential for the long-term sustainability of these projects.

Additionally, he noted that the Tanzania Railways Corporation (TRC) is conducting feasibility studies to establish a new railway line connecting Kariakoo with Mlimani City and Tegeta, underscoring the government’s commitment to expanding urban transport infrastructure.

#TheCitizenUpdates
Mama kanyaga twende nchi imefunguka hii
 
Mimi hata iweje, mtu aje na point yenye akili akiingiza tu uchawa wake, huwa sisomi, naignore napita.

Nilikuwa para1 gear ya uchawa ikaingizwa, nikasitisha.

Nchi ikiwa katika mkwamo wa kiuongozi, watu kutekwa na kuuawa bila hatua zozote za kisheria kuchukuliwa, halafu from no where mtu unaanza kujikomba kusifia Serikali iliyoshindwa kuwajibikia usalama wetu, imeonekana unakuja kutupima akili zetu.

Hata kungelikuwa na kujenga miradi yenye nakshi za dhahabu wakati damu za watu wasio na hatia zikiwalilia, miradi hiyo haina maana yoyote, ni heri isingefanyika.

Weka pembeni uchawa wako shusha point zenye kueleweka tutakwenda pamoja.
 
Mimi hata iweje, mtu aje na point yenye akili akiingiza tu uchawa wake, huwa sisomi, naignore napita.

Nilikuwa para1 gear ya uchawa ikaingizwa, nikasitisha.

Nchi ikiwa katika mkwamo wa kiuongozi, watu kutekwa na kuuawa bila hatua zozote za kisheria kuchukuliwa, halafu from no where mtu unaanza kujikomba kusifia Serikali iliyoshindwa kuwajibikia usalama wetu, imeonekana unakuja kutupima akili zetu.

Hata kungelikuwa na kujenga miradi yenye nakshi za dhahabu wajati damu za watu wasio na hatia zikiwalilia, miradi hiyo haina maana yoyote, ni heri isingefanyika.

Wewe njoo na counter arguments sio viSingizi hivi mkuu
 
Wat

Watu wetu wengi ni kama mleta mada, akili kibaba.

Hawajui kuwa jukumu la kwanza la msingi kwa Rais yeyote na Serikali yoyote, ni ulinzi na usalama wa wananchi wake. Na kwenye hilo Samia amescore a big zero. Chini ya uongozi wake, tumeshuhudia watu wanaomkosoa wakitekwa na kuuawa, na yeye akitoa baraka kwa hayo mauaji, huku akisema wazi bila aibu, kuwa mtu kufa kwa kutekwa na watu wake ni kifo cha kawaida, eti kifo ni kifo tu!!
 
Wat

Watu wetuwe gi ni kama mleta mada, akili kibaba.

Jukumu la kwanza la msingi kwa Rais yeyote na Serikali yoyote, ni ulinzi na usalama wa wananchi wake. Na kweli hilo Samia amescore a big zero. Chini ya uongozi wake, tumeshuhudia watu wanaomkosoa wakitekwa na kuuawa, na yeye akitoa baraka kwa hayo mauaji, huku akisema wazi bila aibu, kuwa mtu kufa kwa kutekwa na watu wake ni ni kifo cha kawaida, eti kifo ni kifo tu!!
Basi tumpongeze kwa hili alilofanikiwa kwanza,

Hilo la ulinzi ni suala mtambuka na wanaofanya hivyo ni watu wabaya
 
Tatizo la Watanzania ni ukilaza, Hii PPP inatoa fursa kwa watu wote wa ndani au wa nje,

Kwanini tusijikusanye vikunde na kufika halmashauri ili kuomba miradi ya PPP,

MFANO: Halimshauri iwapatie kuendesha soko nadhani mtalipana na kupeana Ajira vyote,

Sasa watu hapa wanalalamika tu.

Nashauri Elimu Zaid kuhusu PPP ifike mpaka chini kabisa.
 
Wat

Watu wetu wengi ni kama mleta mada, akili kibaba.

Hawajui kuwa jukumu la kwanza la msingi kwa Rais yeyote na Serikali yoyote, ni ulinzi na usalama wa wananchi wake. Na kwenye hilo Samia amescore a big zero. Chini ya uongozi wake, tumeshuhudia watu wanaomkosoa wakitekwa na kuuawa, na yeye akitoa baraka kwa hayo mauaji, huku akisema wazi bila aibu, kuwa mtu kufa kwa kutekwa na watu wake ni kifo cha kawaida, eti kifo ni kifo tu!!
Mkuu sijui kama Kuna nchi hasa za Dunia ya tatu watu hawatekani,

Kutekana kumebeba mambo mengi na maswali mengi kuliko majibu
 
"...The DDC building is envisioned as a multifunctional hub aimed at enhancing Kariakoo’s business appeal and attracting further investment. The project is expected to cost $37 billion..."

Machawa mnaandika habari za uongo hadi mnapitiliza. Unaijua $37 billion?? Hilo jengo la DDC pale lina gharama ya $37billion ambayo ni takribani trillion 100

Machawa nimewatukana kimoyomoyo hapa
 
Back
Top Bottom