Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa Mambo ya Kange hayo.
Kauze tundu dogoAcha kesi uendelee haki itendeke,fahamu kupata haki stahiki ina gharama zake,usihofu kuhusu gharama
Naunga hoja yako mkono uko sahihiMengi mazuri yaliyofanywa na utawaule uliopita yanawezwa kufunikwa na kutupwa mbali na mabaya machache yaliotokea.
Mfano kesi hii, vile ilivyoandaliwa tokea kipindi hiko mpaka leo gharama zilizotumika na zinazoendelea kutumika hali haina faida yoyote.
kwa ufupi ni kesi ya kisiasa na faida ilikua ni kwa walioiandaa na kwa sasa hawapo tena sijui hawa waliopo leo wanafaidika na nini au watafaidika na nini wanapoendelea kuing'ang'ania.
Ngoja tuone mwishowe. Sisi wananchi hatutakosa la kujifunza.