Yoav Gallant
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 2,122
- 4,699
Wahamasishaji wenyewe wasanii kina SajentiNational team iwe na msemaji wake. Hatuhitaji kuhamsishwa. Twende kwa uzalendo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahamasishaji wenyewe wasanii kina SajentiNational team iwe na msemaji wake. Hatuhitaji kuhamsishwa. Twende kwa uzalendo.
Nadhani hakuna ubaya, swali fikirishi je hawa wasemaji walicheza kwenye timu ya taifa, mimi niliangalia mchezo mwanzo mwisho, wa Ethiopia walikuwa wazuri pia sisi wachezaji wetu hawakuzitumia vizuri nafasi nyingi walizozipataTimu ziko nyingi kwanini iwe wasemaji wa Azam, Simba na Yanga tu wahamasishe timu ya taifa? Kama ni kwaajili ya kuwa na mashabiki wengi lakini kuna ushahidi gani kuwa Azam ina mashabiki wengi kuliko KMC na Coastal Union?
Pili, kuna wasemaji ambao huwa wanajigamba hadharani kuwa timu zao zimetoa wachezaji wengi taifa stars kuliko timu nyingine pale ambapo uteuzi wa timu ya taifa umechagua wachezaqji wengi kwenye timu yake kuliko timu nyingine, hii ndiyo mbaya zaidi kuliko hata hiyo sababu ya kwanza.
Kauli kama hizi zinasababisha dhambi mbili kuu kutendwa, mashabiki wa timu nyingine kujiona kama sio sehemu ya timu ya taifa, hivyo kususia kwenda kwenye mechi; na pili, inaweza kusababisha uteuzi wa timu uzingatie kubalance wachezaji wa timu badala ya kuteua kwa kufuata ubora.
Soma Pia: Yanga, Simba na Azam kununua goli milioni 5 ili kuipa hamasa Taifa Stars
Majigambo kama haya ya kitimu kwenye jambo la taifa ni utoto kabisa, halina faida kwa Yanga na Simba wala kwa timu ya taifa wala kwa mashabiki.
Hivi unadhani mm nitaenda uwanjani kuishangilia taifa stars kwa kuhamasishwa na Ally Kamwe, Ahmad Ally au Hashim Ibwe? Hawa wanainajisi taifa stars TU. Watu watakwenda kuishangilia taifa stars kama itafanya vizuri uwanjani TU baaasi!! Kama raia namba Moja aliita taifa stars kichwa cha mwendawazimu sembuse Ahmed Ally na Ally Kamwe? Kocha yule hawezi kuwavuta watu waende uwanjani kuitazama taifa stars. Jezz za wachezaji wa taifa stars za sandaland hazina hadhi ya taifa stars, hawanunui watu.Wahamasishaji wenyewe wasanii kina Sajenti