Bila kujua, wasemaji wa Simba, Yanga na Azam wanaidhoofisha Taifa Stars

Nadhani hakuna ubaya, swali fikirishi je hawa wasemaji walicheza kwenye timu ya taifa, mimi niliangalia mchezo mwanzo mwisho, wa Ethiopia walikuwa wazuri pia sisi wachezaji wetu hawakuzitumia vizuri nafasi nyingi walizozipata
 
Wahamasishaji wenyewe wasanii kina Sajenti
Hivi unadhani mm nitaenda uwanjani kuishangilia taifa stars kwa kuhamasishwa na Ally Kamwe, Ahmad Ally au Hashim Ibwe? Hawa wanainajisi taifa stars TU. Watu watakwenda kuishangilia taifa stars kama itafanya vizuri uwanjani TU baaasi!! Kama raia namba Moja aliita taifa stars kichwa cha mwendawazimu sembuse Ahmed Ally na Ally Kamwe? Kocha yule hawezi kuwavuta watu waende uwanjani kuitazama taifa stars. Jezz za wachezaji wa taifa stars za sandaland hazina hadhi ya taifa stars, hawanunui watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…