Bila kulewa huwezi kulisoma hili neno

Bila kulewa huwezi kulisoma hili neno

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Hivi hawa wanaojiita wanasayansi haya madubwana wanayatoa wapi..hivi hata wao wenyewe wataweza kweli..bila kulewa

Nimenunua mafuta flan ya kupaka mwilini..sasa nikawa nasoma yaliyomo ndio nikakutana na hili neno
METHYLCHLOROISOTHIAZOLINONE

dah..nimejaribu mara laki moja nimefail..labda nikajicastle lager kwanza

Maneno mengine uliyokutana nayo wewe ni yap????
 
Chief hakuna neno gumu duniani. Labda kama ukitaka kuunganisha neno liwe refu kama treni

"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
 
Sasa neno kama hilo sio gumu kulitamka mkuu?
 
Sio gumu kwasababu unakuta ni muunganiko wa maneno matatu au zaidi ambayo hata ukiyachambua yanabaki kama yalivyo. Mfano:
Chlorofloromethanoicpropanol
Chloro Floro Methanoic Propanol
Sasa hapo ugumu uko wapi?

"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
 
Mmh hapo mi chenga..labda wenzangu

Afu shida utakuta hujui neno la kwanza linaishia wapi na linafuata linaanzia wapi
Mf hilo
Chlorofloromethanoicpropanol

Kwa tusiojua tungelikata
Chloroflo romethanoicpro panol
 
Aa
Sio gumu kwasababu unakuta ni muunganiko wa maneno matatu au zaidi ambayo hata ukiyachambua yanabaki kama yalivyo. Mfano:
Chlorofloromethanoicpropanol
Chloro Floro Methanoic Propanol
Sasa hapo ugumu uko wapi?

"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
Nadhani mtu ambaye hajapiga organic, ndio anaweza ona ngumu kwake.
 
maneno ya kawaida sana hayo kwenye organic chemistry
 
Back
Top Bottom