Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Hivi hawa wanaojiita wanasayansi haya madubwana wanayatoa wapi..hivi hata wao wenyewe wataweza kweli..bila kulewa
Nimenunua mafuta flan ya kupaka mwilini..sasa nikawa nasoma yaliyomo ndio nikakutana na hili neno
METHYLCHLOROISOTHIAZOLINONE
dah..nimejaribu mara laki moja nimefail..labda nikajicastle lager kwanza
Maneno mengine uliyokutana nayo wewe ni yap????