Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Chief hakuna neno gumu duniani. Labda kama ukitaka kuunganisha neno liwe refu kama treniHivi hawa wanaojiita wanasayansi haya madubwana wanayatoa wapi..hivi hata wao wenyewe wataweza kweli..bila kulewa
Nimenunua mafuta flan ya kupaka mwilini..sasa nikawa nasoma yaliyomo ndio nikakutana na hili neno
METHYLCHLOROISOTHIAZOLINONE
dah..nimejaribu mara laki moja nimefail..labda nikajicastle lager kwanza
Maneno mengine uliyokutana nayo wewe ni yap????
Sasa neno kama hilo sio gumu kulitamka mkuu?Chief hakuna neno gumu duniani. Labda kama ukitaka kuunganisha neno liwe refu kama treni
"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
hahaha mbavu zanguuDDT
Dichlorodiphenyltrichloroethane
C14H9Cl5
Sio gumu kwasababu unakuta ni muunganiko wa maneno matatu au zaidi ambayo hata ukiyachambua yanabaki kama yalivyo. Mfano:Sasa neno kama hilo sio gumu kulitamka mkuu?
yaan utadhan simu imejitype ikiwa mfukoniRahisi tu METHYLCHLOROISOTHIAZOLINONE
Kabisayaan utadhan simu imejitype ikiwa mfukoni
Nadhani mtu ambaye hajapiga organic, ndio anaweza ona ngumu kwake.Sio gumu kwasababu unakuta ni muunganiko wa maneno matatu au zaidi ambayo hata ukiyachambua yanabaki kama yalivyo. Mfano:
Chlorofloromethanoicpropanol
Chloro Floro Methanoic Propanol
Sasa hapo ugumu uko wapi?
"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
si ndio hapo kasema bila kulewa i.e kupiga ethanol huwezi kulitamkaAa
Nadhani mtu ambaye hajapiga organic, ndio anaweza ona ngumu kwake.
Hahaa...kumbesi ndio hapo kasema bila kulewa i.e kupiga ethanol huwezi kulitamka
Umeona eehsi ndio hapo kasema bila kulewa i.e kupiga ethanol huwezi kulitamka
Nipe moja mkuuMkuu hilo cha mtoto ukipita pita vizuri utakutana na hizo nomenclature za cpds utakimbia wewe.