MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Januari 5, 2011 haitakaa isahaulike kwa wapenda demokrasia wote duniani kwa kilichotokea Arusha. Maandamano ya CHADEMA yalizimwa kwa nguvu kubwa na jeshi la polisi hadi kutokea maafa ya watu kuumizwa na baadhi kupoteza maisha. Nakumbuka hiyo siku mimi nilikuwa natoka mizunguko yangu kufika posta ya Meru nikakuta kundi la watu linakimbia na mabomu ya machozi kila upande. Ghafla nikaona mdada aliyefungasha balaa nae anatoka nduki ikabidi nijiunge nae kukimbia na kwenda kujificha naye kwenye lodge moja maeneo ya Makao mapya karibu na Kati Makutano Bar.
Nimeamua kuwakumbusha CHADEMA hii laana ya kumtelekeza mchumba wa Dr Slaa jinsi inavyowatafuna. Josephine Mushumbusi alimwaga damu kwa ajili ya CHADEMA ila kikatili sana CHADEMA wakampiga chini baby wake kwenye kugombea urais na kumweka mtu ambaye hata jasho hajawahi kutoa kwa ajili ya CHADEMA. Mbaya zaidi CHADEMA waliendelea kumtukana baby wa Josephine kwa kumwita Dr Mihogo. Hakika hii LAANA ya hawara wa Dr Slaa itawatafuna CHADEMA.
Mbowe tafuta watu wenye akili wakamwombe msamaha Josephine. Ukimtuma mtu mwenye akili ndogo na mfupi kama Yericko utazidi kumkasirisha Josephine.