Bila kumuona Leonel Ateba kwa wiki najiona kama nina mapungufu mwilini

Ateba Ateba Ateba nimekuita mara tatu, umemfanyaje kijana wa watu amekumiss mwenzio
 
Galasa hilo.
 
Kolo umemuona Ateba jana?
 
Unatakiwa upimwe akili
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…