ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
We jamaa ume nichekeshaMwisho wa siku atasema akimuonaateba...anabanwa na haja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa ume nichekeshaMwisho wa siku atasema akimuonaateba...anabanwa na haja
Yaani anazidiwa na Che MaloneBora yeye.. yule mwana mfalme wenu feki mechi 6 ana magoli 0, assist 0
Galasa hilo.Huyu striker nimemtokea kumpenda sana, kwanza ana nguvu, ana akili, ana control, ana mbinu, ana mikakati, ana uwezo mkubwa lakini ni mchana nyavu hasa.Muite Leonel Ateba Mbida.
Mcameroon huyu ananivutia sana, nimeona washambuliaji wengi sana Simba, nimemuona marehemu John Makelele 'Zigzag', Omary Hussein Kevin Keegan, William Fahnbullah, marehemu Mchunga Bakari Mandela, marehemu Said Mwamba Kizota, Bita John, Betram Mwombeki, Damian Kimti, Danny Mrwanda, Mohammed Hussein Mmachinga, Hemed Mrisho, Athuman Machupa, marehemu eddo Chumilla, Malota Soma Ball Jugler nk.
Huyu anakuwa mmoja wa washambuliaji ambao kwangu nafurahi anavyocheza, wapo waliowahi kunivutia kama Malota Soma, Makelele na Fahnbullah mliberia huyu lakini Ateba ni mkatili sana.
Siku ile kama sio mazingaombwe ya Utopolo Diarra alikuwa anakwenda na maji, muangalieni huyu Ateba alivyo mkatili halafu mtakuwa kuniambia.
Sasa kufuatia JKT kupata ajali, Simba leo haichezi, naona kama nimefiwa vile.
Nimepungukiwa damu nyingi mwilini kwa kutomuona Leonel Ateba Mbida.
Yupo mtangazaji mmoja pale Azam anampatia sana Ateba anapotangaza, Ateba akizifumania nyavu utamsikia Atebaaaaaaaaa.Huyo ni mtangazaji Ghalib Mzinga.
Anyway, Mashujaa jiandaeni Ateba anapanda Ndege siku c nyingi anakuja huko.Nitafanyaje sasa na Simba haichezi, bora nisake warembo tu
Kolo umemuona Ateba jana?Huyu striker nimemtokea kumpenda sana, kwanza ana nguvu, ana akili, ana control, ana mbinu, ana mikakati, ana uwezo mkubwa lakini ni mchana nyavu hasa.Muite Leonel Ateba Mbida.
Mcameroon huyu ananivutia sana, nimeona washambuliaji wengi sana Simba, nimemuona marehemu John Makelele 'Zigzag', Omary Hussein Kevin Keegan, William Fahnbullah, marehemu Mchunga Bakari Mandela, marehemu Said Mwamba Kizota, Bita John, Betram Mwombeki, Damian Kimti, Danny Mrwanda, Mohammed Hussein Mmachinga, Hemed Mrisho, Athuman Machupa, marehemu eddo Chumilla, Malota Soma Ball Jugler nk.
Huyu anakuwa mmoja wa washambuliaji ambao kwangu nafurahi anavyocheza, wapo waliowahi kunivutia kama Malota Soma, Makelele na Fahnbullah mliberia huyu lakini Ateba ni mkatili sana.
Siku ile kama sio mazingaombwe ya Utopolo Diarra alikuwa anakwenda na maji, muangalieni huyu Ateba alivyo mkatili halafu mtakuwa kuniambia.
Sasa kufuatia JKT kupata ajali, Simba leo haichezi, naona kama nimefiwa vile.
Nimepungukiwa damu nyingi mwilini kwa kutomuona Leonel Ateba Mbida.
Yupo mtangazaji mmoja pale Azam anampatia sana Ateba anapotangaza, Ateba akizifumania nyavu utamsikia Atebaaaaaaaaa.Huyo ni mtangazaji Ghalib Mzinga.
Anyway, Mashujaa jiandaeni Ateba anapanda Ndege siku c nyingi anakuja huko.Nitafanyaje sasa na Simba haichezi, bora nisake warembo tu
Unatakiwa upimwe akiliHuyu striker nimemtokea kumpenda sana, kwanza ana nguvu, ana akili, ana control, ana mbinu, ana mikakati, ana uwezo mkubwa lakini ni mchana nyavu hasa.Muite Leonel Ateba Mbida.