Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Huyu striker nimemtokea kumpenda sana, kwanza ana nguvu, ana akili, ana control, ana mbinu, ana mikakati, ana uwezo mkubwa lakini ni mchana nyavu hasa.Muite Leonel Ateba Mbida.
Mcameroon huyu ananivutia sana, nimeona washambuliaji wengi sana Simba, nimemuona marehemu John Makelele 'Zigzag', Omary Hussein Kevin Keegan, William Fahnbullah, marehemu Mchunga Bakari Mandela, marehemu Said Mwamba Kizota, Bita John, Betram Mwombeki, Damian Kimti, Danny Mrwanda, Mohammed Hussein Mmachinga, Hemed Mrisho, Athuman Machupa, marehemu eddo Chumilla, Malota Soma Ball Jugler nk.
Huyu anakuwa mmoja wa washambuliaji ambao kwangu nafurahi anavyocheza, wapo waliowahi kunivutia kama Malota Soma, Makelele na Fahnbullah mliberia huyu lakini Ateba ni mkatili sana.
Siku ile kama sio mazingaombwe ya Utopolo Diarra alikuwa anakwenda na maji, muangalieni huyu Ateba alivyo mkatili halafu mtakuwa kuniambia.
Sasa kufuatia JKT kupata ajali, Simba leo haichezi, naona kama nimefiwa vile.
Nimepungukiwa damu nyingi mwilini kwa kutomuona Leonel Ateba Mbida.
Yupo mtangazaji mmoja pale Azam anampatia sana Ateba anapotangaza, Ateba akizifumania nyavu utamsikia Atebaaaaaaaaa.Huyo ni mtangazaji Ghalib Mzinga.
Anyway, Mashujaa jiandaeni Ateba anapanda Ndege siku c nyingi anakuja huko.Nitafanyaje sasa na Simba haichezi, bora nisake warembo tu