Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Sio rahis kihivyokuharibika kwa dunia na mpaka kwetu athari zitatufikia kwani,mataifa mengi yataingia vitanda,ukacwa bahari unaopitisha meli zenye bidhaa kuha huku kwetu utaathiriwa na vita,bidhaa zitakuwa hazipatikani,zitapanda bei,mfumo wa kibiashara utaathiriwa huku pia tutaathirika,ndio maana tuombe hii vita isipanuke,isuluhishwe
Bibi anawawahisha kwa mabkraNext time usianzishe ugomvi wakati unajua huyo unae mchokozq huna uwezo hata wa kuvunja dirisha la nyumba yake. Kabla ya October 07, 2023 wote walikua wakiishi kwa amani, hata sie tukaamua kupeleka vijana wetu kule kwenda kusoma, October 07 imeharibu kila kitu. Tuwalaumu Hamas na Iran for their poor calculation. Sioni tena kama Gaza itakuja kua chini ya any Palestinian regime, sioni tena hilo likitokea, doesn't matter bibi aendelee kua PM or not
Mwenyewe Israel ni mbaya sanaKInachotutesa katika huu mgogoro ni Udini! Mimi ni Mkristo ila nimekubali kujifunza kuwa Israel ndiye muhuni No. 1 hapa Duniani.
KInachotutesa katika huu mgogoro ni Udini! Mimi ni Mkristo ila nimekubali kujifunza kuwa Israel ndiye muhuni No. 1 hapa Duniani.
Wakulaumiwa ni hamas. Siku ile walipowaua wayahudi, watanzania, wamarekani, wajerumani nk, walipongezwa kwa kuuwa na kuchukua mateka. Lawama zote kwa hamas.Muda wake utafika
upo level moja na Allah waongo wakuuHamas wala hawajaanzisha ugomvi,
Israel sio nchi ya Waarabu... Arab kwao ni Arabian Peninsula.. punguza upumbavu wako.. Hamas ni Arabs namba wanaongea kiarabu Israel historia zote ni nchini ya Wana Israel Quran na Biblia zinathibitisha.. hao Arabia waliovuka mpaka namba wengine walipelekwa na Caliphate Umar na wengine manamba wa Ottoman empire ndio waseme Israel ni nchini yao.. pelekeni upuuzi misikitini pakee namba sio kwa public. Eti unafananisha na Mandela mwenu weweHamas wapo pale kutafuta uhuru wa nchi yao kama wakina Karume na Nyerere na Mandela unaowasoma leo vizuri kwenye vitabu basi nao walipita njia hizihizi za Hamas,
Huna tofauti na Aljazeera kasome historia ujue nani alianzisha mauaji ni Arabs mnadhani hamna anayejua kila siku mmnamsema Israel anawaua ukweli utabiki hadi kiama chenu.. dhamira yenu muwaangamize wayahudi mmeshindwa tokea miaka hiyo mnaishia kupigwa nyie.. Quran Allah alimuambia Nabii Musa kuwa apigane nanyi hadi kiama. Nyie endeleeni kureport mnavyopigwa tu na nyamazeni kusema mnapolianzisha ili tujue mnaonewa sababu ni wanafiki.. mnalamika victims kwa makosa mliyoanzisha wenyewe..nakukumbusha tu kuwa Hamas imeanzishwa hapo majuzi tu ata miaka 40 haina ila mauaji ya Wapalestina yalianza miaka ya 1910+.
Sio kuonewa Zion is true Israel Lazima irudi kama zamani ni Dini zenu ndio zimetabiri.. so kawalaumu miunguUkipata muda soma kitu kinaitwa "The Great Israel" uone mission ya Israel kuwa Taifa kubwa, kwaiyo hapa ni suala la muda tu ila kwa ukanda ule wataonewa wengi.
Arabs haki zake zipo Arabian Peninsula sio Holly Land of Israel. Kamuulize Allah...Kwaiyo tusimgeuze mtu ambae anaonewa kuwa mkosefu pale anapotafuta haki yake.
Wewe unaona Gaza Ni dunia?Kama walivyofanya kwa Hitler na Mussolini, au kuwaondoa Benjamin Netanyahu na Trump wataiangamiza dunia
Acha kufananisha mambo ya akina Karume, Nyerere, Mandela na vitu vya kipumbavuHamas wala hawajaanzisha ugomvi, Hamas wapo pale kutafuta uhuru wa nchi yao kama wakina Karume na Nyerere na Mandela unaowasoma leo vizuri kwenye vitabu basi nao walipita njia hizihizi za Hamas, nakukumbusha tu kuwa Hamas imeanzishwa hapo majuzi tu ata miaka 40 haina ila mauaji ya Wapalestina yalianza miaka ya 1910+.
Ukipata muda soma kitu kinaitwa "The Great Israel" uone mission ya Israel kuwa Taifa kubwa, kwaiyo hapa ni suala la muda tu ila kwa ukanda ule wataonewa wengi.
Kwaiyo tusimgeuze mtu ambae anaonewa kuwa mkosefu pale anapotafuta haki yake.
hao wote hawana miaka miwili kwenye uso wa DuniaKama walivyofanya kwa Hitler na Mussolini, au kuwaondoa Benjamin Netanyahu na Trump wataiangamiza dunia
😂Kama walivyofanya kwa Hitler na Mussolini, au kuwaondoa Benjamin Netanyahu na Trump wataiangamiza dunia
We bwege kweli, Gaza ndio duniaKama walivyofanya kwa Hitler na Mussolini, au kuwaondoa Benjamin Netanyahu na Trump wataiangamiza dunia
Heri mie bwege mwanangu kuliko wewe chiizi na zwaazwa usiyesoma between the lines tokana na kujaza maviiii na matoope kichwani nyambaff kubwa. Shaame on you!We bwege kweli, Gaza ndio dunia
Ww hujawahipo kusaidiwa hata thumni ukipata shida je uliachwa upambane na lako au shule ulienda kusoma ujingaHatoingamiza dunia, usihusishe dunia kwenye migogoro ya watu wengine.
Kila nchi ina matatizo yake, kila mtu apambane na lakwake
Kama unahisi kupigani uhuru wa Taifa ni jambo jepesi basi kaa tulia, ila usisahau kuwa Mandela alikuwa matika List ya Magaidi akaja kitolewa katika list hiyo miaka 2000, Marekani ikimtambua kama Gaidi unajua kwanini? Kipindi wanapigania Uhuru walipoona mambo hayaendi waliunda vikundi vya kijeshi kukabiliana kinguvu na Walowezi.Acha kufananisha mambo ya akina Karume, Nyerere, Mandela na vitu vya kipumbavu
Mkuu kwani wewe asili yako wako? ilo kabila lako lilitokea sehemu gani miaka hiyo? Nani alikuambia kuwa Israel ni sehemu ya waarabu? Unajua kitu kinaitwa Oslo Accords? Naomba nikukumbushe hapo unapoishi hakuna sehemu yeyote katika Biblia imekuambia kuwa hapo ni pako, ni sheria ndizo zimekupa hapo na je! akija mtu akakuambia ameambiwa na Mungu kuwa ilo eneo unaloishi amepewa yeye na Mungu utampisha? au tu leo ukienda pale Magomeni Kanisani ukaaawambia Mungu amekuotesha au Yesu kakutokea usiku kakuambia uwaambie wakupishe ata kama kweli umetokewa unafikiri watakupisha? mwisho wa siku watakuitia Ambulance upelekwe Milembe tu! ila naomba nikuambie kuwa mimi sio Muislamu.Israel sio nchi ya Waarabu... Arab kwao ni Arabian Peninsula.. punguza upumbavu wako.. Hamas ni Arabs namba wanaongea kiarabu Israel historia zote ni nchini ya Wana Israel Quran na Biblia zinathibitisha.. hao Arabia waliovuka mpaka namba wengine walipelekwa na Caliphate Umar na wengine manamba wa Ottoman empire ndio waseme Israel ni nchini yao.. pelekeni upuuzi misikitini pakee namba sio kwa public. Eti unafananisha na Mandela mwenu wewe