Bila kuonesha ushabiki, ni timu gani inatoa jezi kali Kila msimu?

Bila kuonesha ushabiki, ni timu gani inatoa jezi kali Kila msimu?

Kuna timu moja inaitwa secretarybird ina jezi kali sana, **** hamwamini mkazinunue.
 
Wazee naomba kufahamamu ni timu Gani inatoa jezi nzuri Kila msimu Kwa dunia nzima bila kuonyesha ushabiki hata kama huishabikii ila sema tu jamaa wanatia jezi Kali nasubiri majibu yenu wakuu
Wengine Jezi zetu ni all weather, unaweza ukazivaa hata vitani na ikakubaia poa zaidi ya combat

IMG-20250131-WA0025.jpg
 
Back
Top Bottom