Bila kushusha gharama za UNIT na kuzuiya ukatikaji wa mara kwa mara wa umeme

Sahihi.

Walisema pia watauza Umeme nje ya nchi.
Kuuza umeme nje ya Nchi ni sifa za kijinga cha kwanza ni watu wako wapate umeme wa uhakika watoe Tozo zao za viwanja huko ili kupunguza gharama sioni kama bwawa litakua na faida kama gharama za ununuzi wa umeme zinaendelea kuwa juu wakati umeme wa maji ni wa gharama nafuu..
 
Sahihi.

Walisema pia watauza Umeme nje ya nchi.
Hii kuuza amgekuwepo Magu tu ndio alikuwa anaenda huko. Kama unakumbuka kipindi chake tulifikia hatua umeme ulikuwa haukatwi kabisa.
Ujenzi wa hayo mabwawa yeye ndie alieanza ujenzi.
Pia enzi zake gharama za kuingiza umeme ilikuwa 37000 tu. Wakaja hawa wanasema alikosea haiwezekani gharama ya kuingiza umeme iwe 37000 tu. LAKINI NDIO ALIWEZA MAGU.
 
Mimi ni mfugaji utotoleshaji kwakutumia incubator na huu umeme wa tz umenipa changamoto kubwa mno...
 
Ningekuwa mimi ndiyo Rais ningeagiza TANESCO waangalie namna ya kushushw bei ya umeme kwa unit kutoka 300+ ya sasa mpaka 100 hivi ili hii nishati umeme ya umeme isionekane kuwa ni anasa kama ilivyo sasa.

Kinyume na hapo faida ya kulijenga hilo bwawa haipo. Akili ya kuuza umeme nje haina mashiko kama ndani ya nchi wananchi wanaupata huo umeme kwa gharama kubwa, na isiyo endana na vipato vyao.
 
Habari ndugu mteja,
Asante kwa kuwasiliana nasi.

Kuhusu bei ya umeme, tunafahamu na tunaelewa matarajio ya wananchi ya kupata umeme wa uhakika na kwa bei nafuu. Hata hivyo, bei ya umeme hupangwa na mamlaka husika, EWURA, kwa kuzingatia gharama za uzalishaji, uendeshaji na mambo mengine yanayohusika, pamoja na maoni ya wadau.
Hivyo, tunaomba tuendelee kuwa na subira wakati mchakato huu ukiendelea. Tunathamini maoni na ushirikiano wako.
Asante.^HN
 
TUnafahamu kuwa gharama yawezwkana kuwa ilikuwa kubwa kabla ya hili Bwawa Je!.Mtapunguza Kama mmbeba maono alivyokuwa anakusudia au mtaendelea kuufanya kuwa anasa .?

Na Je gharama za kuwasajili wateja wapya kwanini mmeweka kubwa sana wakati huo huo mnauuza umeme kwa gharama kubwa.?

Ninawazo msifikirie kwanza kuuza huko nje kabla wateja wenu wa nchini hawajafaidika jifunzeni kwa Zambia kabla ya kuuza umeme wao kwetu kupitia Mkoa wa Rukwa wao umeme wao sio anasa na sio wa kukatika..!

Ahsante.
 
Hii kuuza amgekuwepo Magu tu ndio alikuwa anaenda huko. Kama unakumbuka kipindi chake tulifikia hatua umeme ulikuwa haukatwi kabisa.
Ujenzi wa hayo mabwawa yeye ndie alieanza ujenzi.
Pia enzi zake gharama za kuingiza umeme ilikuwa 37000 tu. Wakaja hawa wanasema alikosea haiwezekani gharama ya kuingiza umeme iwe 37000 tu. LAKINI NDIO ALIWEZA MAGU.
Kwenye suala la umeme, magu alilimudu sana, Kuna kipindi unakaa mpaka unasahau kama umeme hua unakatika
 
Jana nikatumiwa SMS na TANESCO at "....ndoto imetimia".😁

Hiyo ndoto aliota nani? Gharama kuunganishiwa umeme juu,umeme wenyewe tuliahidiwa utashuka bei ila hola!!

Mgao? Tujipe muda na hilo linawezekana maana siasa mingi nchi hii.
 
TUnafahamu kuwa gharama yawezwkana kuwa ilikuwa kubwa kabla ya hili Bwawa Je!.Mtapunguza Kama mmbeba maono alivyokuwa anakusudia au mtaendelea kuufanya kuwa anasa .?

Na Je gharama za kuwasajili wateja wapya kwanini mmeweka kubwa sana wakati huo huo mnauuza umeme kwa gharama kubwa.?

Ninawazo msifikirie kwanza kuuza huko nje kabla wateja wenu wa nchini hawajafaidika jifunzeni kwa Zambia kabla ya kuuza umeme wao kwetu kupitia Mkoa wa Rukwa wao umeme wao sio anasa na sio wa kukatika..!

Ahsante.
Habari ndugu mteja,
Asante kwa kuwasiliana nasi.
Tumepokea mawazo yako kwa ajili ya utekelezaji zaidi na uboreshaji wa huduma zetu. Endelea kufurahia huduma zetu, TANESCO tunayaangaza maisha yako.^HN
 
Back
Top Bottom